久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Rais Xi Jinping asisitiza kukamilisha mfumo wa kisasa wa utalii, kujenga sekta imara ya utalii ya China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 20, 2024

Mkutano wa kitaifa kuhusu maendeleo ya sekta ya utalii ukifanyika Beijing, Mji Mkuu wa China, Mei 17, 2024. (Xinhua/Chen Bin)

Mkutano wa kitaifa kuhusu maendeleo ya sekta ya utalii ukifanyika Beijing, Mji Mkuu wa China, Mei 17, 2024. (Xinhua/Chen Bin)

BEIJING - Rais Xi Jinping wa China ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC) kwenye maagizo yake muhimu katika kazi inayohusu sekta ya utalii amesisitiza juhudi za kukamilisha mfumo wa kisasa wa utalii na kuharakisha ujenzi wa nchi yenye nguvu katika utalii.

Kwenye maagizo yake hayo, Rais Xi amesema China imejenga soko la utalii wa ndani ambalo ni kubwa zaidi duniani na imekuwa chanzo kikubwa zaidi cha watalii wa kimataifa na kivutio kikuu.

Sekta ya utalii ya China imezidi kukua na kuwa sekta inayoibukia na ya kutegemewa ya kimkakati ambayo inaweza kuongkeza ustawi na hisia ya furaha kwa watu, Rais Xi amesema, huku akisisitiza kuwa China imefanikiwa kuanzisha kwa hamasa njia ya maendeleo ya utalii yenye umaalum wa kipekee.

Rais Xi amesema maendeleo ya utalii yanakabiliwa na fursa na changamoto mpya katika safari mpya ya zama mpya.

Ametoa wito wa kutumia mtazamo wa pande zote kwa serikali na soko, utoaji na mahitaji, ulinzi na maendeleo, soko la ndani na la kimataifa, pamoja na maendeleo na usalama.

Amesisitiza umuhimu wa kuendeleza sekta ya utalii ili kuhimiza zaidi maendeleo ya uchumi, kuonesha Sura ya China, na kuongeza mawasiliano kati ya ustaarabu mbalimbali.

Mkutano huo wa kitaifa kuhusu maendeleo ya sekta ya utalii ulifanyika siku ya Ijumaa mjini Beijing. Kwenye mkutano huo, Li Shulei, mjumbe wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya CPC na Mkuu wa Idara ya Uenezi ya Kamati Kuu ya CPC, aliwasilisha maagizo hayo muhimu ya Rais Xi, na kutoa hotuba.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>