久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Rais Xi asema China iko tayari kushirikiana na nchi za Kiarabu kujenga jumuiya yenye mustakabali wa pamoja ya ngazi ya juu zaidi

(CRI Online) Mei 17, 2024

Rais Xi Jinping wa China amesema China iko tayari kushirikiana na nchi za Kiarabu ili kujenga jumuiya yenye mustakabali wa pamoja kati ya pande hizo mbili ya ngazi ya juu zaidi.

Rais Xi amesema hayo alipotoa salamu za pongezi kwa Mfalme wa Bahrain Hamad bin Isa Al Khalifa, ambaye ni mwenyekiti wa zamu wa Baraza la Wakuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kwa kufanyika kwa Mkutano wa 33 wa Umoja wa Nchi za Kiarabu nchini Bahrain.

Rais Xi amebainisha kuwa Umoja wa nchi za Kiarabu kwa muda mrefu umejitolea kuleta umoja na kujiimarisha katika ulimwengu wa nchi za Kiarabu, na kuhimiza amani, utulivu na maendeleo katika Mashariki ya Kati.

Amesema zikikabiliwa na mabadiliko ya dunia, nyakati na historia katika miaka ya hivi karibuni, nchi za kiarabu zimezingatia kufanya mambo kwa kujitegemea, kuhimiza maendeleo na ustawi, kutetea haki na usawa, na kulinda amani na utulivu wa kikanda.

Ameongeza kuwa China iko tayari kushirikiana na nchi za Kiarabu ili kuendeleza moyo wa urafiki kati ya pande hizo mbili, na kuchangia katika ujenzi wa jumuiya ya binadamu yenye mustakabali wa pamoja.

Amesema Mwishoni mwa mwezi huu, mkutano wa 10 wa mawaziri wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Nchi za Kiarabu utafanyika mjini Beijing, hivyo ana imani kwamba pande hizo mbili zitauchukulia mkutano huo kama fursa ya kuimarisha ushirikiano katika masuala mbalimbali ili kunufaisha vyema watu wao.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>