久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Thamani ya uendeshaji wa viwanda vya Ushirikiano wa China na Ujerumani mjini?Beijing yaongezeka hadi kufikia yuan Bilioni 40

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 15, 2024

Picha hii iliyopigwa Tarehe 26 Aprili 2024 ikionyesha gari linalotumia umeme la BMW likionyeshwa kwenye hafla ya kutia saini makubaliano ya kuendeleza kwa kina ushirikiano wa kimkakati kati ya Kampuni ya BMW na Mji wa Shenyang hafla ambayo ilifanyika huko Shenyang, Mkoa wa Liaoning, Kaskazini Mashariki mwa China. (Xinhua/Pan Yulong)

Picha hii iliyopigwa Tarehe 26 Aprili 2024 ikionyesha gari linalotumia umeme la BMW likionyeshwa kwenye hafla ya kutia saini makubaliano ya kuendeleza kwa kina ushirikiano wa kimkakati kati ya Kampuni ya BMW na Mji wa Shenyang hafla ambayo ilifanyika huko Shenyang, Mkoa wa Liaoning, Kaskazini Mashariki mwa China. (Xinhua/Pan Yulong)

BEIJING – Eneo la kielelezo la ushirikiano wa kiuchumi na kiteknolojia wa Beijing China na Ujerumani umevutia kampuni zaidi ya 100 za Ujerumani, likipeleka thamani ya uendeshaji wa viwanda ya kila mwaka ifikie Yuan bilioni 40 (kama dola bilioni 5.53 za Kimarekani), taarifa iliyotolewa kwenye Jukwaa la Mabingwa Fichwa wa China na Ujerumani (China na Ulaya) 2024 imeeleza.

Jukwaa hilo limehitimishwa mjini Beijing siku ya Jumanne, baada ya kushuhudia mwelekeo wa maendeleo shirikishi kati ya mabingwa fichwa wa China na Ujerumani (Wa Ulaya) na makundi ya Uvumbuzi ya biashara ndogo na za kati (SMEs).

Mabingwa fichwa hurejelea SME zilizofanikiwa sana na ambazo hazijulikani sana ambazo ni vinara wa kimataifa katika suala la sehemu ya soko katika maeneo yao husika. Ujerumani sasa ina mabingwa fichwa hao takriban 500.

Wahudhuriaji wa jukwaa hilo wamesema wanachukulia ushirikiano wa kiuchumi na kiteknolojia kati ya China na Ujerumani kuwa mfano wazi wa ushirikiano wa kimataifa.

Wawakilishi wa maeneo maalum ya viwanda ya China na Ujerumani yaliyoko katika mikoa na miji ya China kama vile Beijing, Taicang, Qingdao, Wuhan na Hefei wametia saini kwenye pendekezo lililotolewa kwenye jukwaa hilo, linalolenga kuunganisha mifumo mazingira ya ushirikiano katika mikoa na viwanda mbalimbali.

Likiwa na uwekezaji wenye thamani ya jumla ya euro bilioni 5 (kama dola bilioni 5.4 za Kimarekani), eneo la kielelezo la ushirikiano wa kiuchumi na kiteknolojia kati ya Beijing China na Ujerumani linaonekana kuwa lango muhimu la ushirikiano wa China na Ujerumani katika mji wa Beijing.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>