久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Wake wa marais wa China na Ufaransa watembelea Jumba la Makumbusho la Orsay

(CRI Online) Mei 07, 2024

(Picha na Ding Lin/Xinhua)

(Picha na Ding Lin/Xinhua)

Mke wa rais Xi Jinping wa China Bi. Peng Liyuan tarehe 6 mwezi huu alitembelea Jumba la Makumbusho la Orsay akiwa pamoja na mke wa rais Emmanuel Macron wa Ufaransa Bi. Brigitte Macron.

Bi. Peng aliangalia picha nyingi maarufu zilizochorwa na wachoraji nguli, ambapo alisema kuwa watu wa China na Ufaransa wote wanapenda sanaa ya uchoraji na nchi hizo mbili zinatarajiwa kuwasiliana zaidi katika sekta husika ili kuzidisha maelewano kati ya watu wao. Aidha wasanii wa nchi hizo mbili wanatarajiwa kuhimiza mawasiliano na kubuni kazi nyingi zaidi nzuri za sanaa.

Wake hao wa viongozi pia wamezungumza na wanafunzi wa Ufaransa waliotembelea jumba hilo. Wanafunzi hao wameeleza uzoefu wao wa kujifunza lugha ya Kichina, ambapo Bi. Peng amesema anatarajia kwamba watatembelea nchini China wakipata fursa na kuendeleza urafiki kati ya nchi hizo mbili.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>