久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Hujambo China! Watu wa hali mbalimbali wamkaribisha rais Xi Jinping kufanya ziara yake nchini Ufaransa

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 06, 2024

Saa 11 mchana (kwa saa za Paris) ya tarehe 5, Mei, Rais Xi Jinping wa China aliwasili Paris, Ufaransa kwa kupanda ndege maalumu.

Kutokana na mwaliko wa rais Emmanuel Macron wa Ufaransa, Xi Jinping ameanza ziara yake ya kiserikali nchini Ufaransa tarehe 5, mwezi Mei.

Kando ya njia, watu wengi wamemkaribisha kwa furaha rais Xi.

Watu wengi wakiwemo Wachina wanaoishi Ufaransa na wanafunzi wa China wanaosoma huko walipunga bendera za taifa za China na Ufaransa, wakipiga ngoma na kucheza ngoma ya simba na ya dragon kwa kumkaribisha rais Xi kufanya ziara yake huko.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>