久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Kampuni zilizowekezwa kwa mtaji wa nchi za kigeni zaongeza uwekezaji wao nchini China

(CRI Online) Machi 15, 2024

"Kupitia mkakati wa 'Nchini China, kwa China', tunajumuisha kikamilifu katika ikolojia ya viwanda ya China ili kuendeleza na kutengeneza bidhaa zinazokidhi mahitaji ya wateja wa China." amesema Bei Ruide, Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Kundi la Kampuni za Magari za Volkswagen za Ujerumani, Tawi la China kwenye jarida la International Critical Review hivi karibuni.

Mnamo Januari mwaka huu, kituo kikubwa zaidi cha utafiti na uendelezaji wa bidhaa (R&D) cha Volkswagen nje ya Ujerumani kilianza kufanya kazi nchini China. Mradi huu, wenye uwekezaji wa thamani ya euro takriban bilioni 1, siyo tu kwamba unaboresha ufanisi wa maendeleo ya bidhaa za Volkswagen, lakini pia unaboresha muundo wao wa gharama.

Uwekezaji wa kigeni ni nguvu muhimu inayoongeza ustawi na maendeleo ya pamoja ya uchumi wa China na uchumi wa dunia. Katika mkutano mkuu wa Bunge la Umma la China uliofanyika hivi karibuni, ilipendekezwa kuwa kuleta utulivu wa uwekezaji wa kigeni litakuwa jambo muhimu katika kazi ya kiuchumi mwaka huu, na kwamba sera na hatua za kuvutia na kutumia uwekezaji wa kigeni ziangaliwe na kuanzishwa.

Takwimu rasmi za hivi punde kutoka China zinaonyesha kuwa mwezi Januari mwaka huu, biashara mpya 4,588 zilizowekezwa na mtaji kutoka nje zilianzishwa nchini China, ikiwa ni ongezeko la mwaka hadi mwaka la 74.4%. Si vigumu kuona kwamba licha ya kudorora kwa ukuaji wa uchumi na uwekezaji wa kigeni duniani, China bado ni sehemu kivutio kwa uwekezaji wa kigeni.

Ulimwengu wa nje pia umetambua kuwa matumizi ya mtaji halisi wa kigeni nchini China mnamo Januari yalikuwa yuan bilioni 112.71, na kiwango kilibadilika. Jarida la "International Critical Review" lilitaka kujua maoni gani kuhusu jambo hili.

Wataalamu husika wameliambia jarida hilo kwamba tangu Mwaka 2018, hali ya uwekezaji duniani imeendelea kuwa ya kudorora. Mnamo 2022, uwekezaji wa moja kwa moja wa kigeni wa kimataifa ulipungua kwa 13.8% kwa ujumla, huku nchi zenye uchumi ulioendelea uwekezaji huo ukishuka kwa kiwango kikubwa, kufikia 17.1%.

Chini ya hali kama hiyo, matumizi ya jumla ya uwekezaji halisi wa kigeni nchini China yanaendelea kuwa thabiti, jambo ambalo si rahisi. Hasa, hadi Januari mwaka huu, kutokana na sababu kama vile msingi wa juu, uwekezaji wa kigeni ulipungua mwaka hadi mwaka, lakini uliongezeka kwa 20.4% mwezi kwa mwezi, ikionyesha kuwa uwekezaji wa kigeni nchini China unaendelea kuongezeka.

Tuangalie chanzo cha uwekezaji kutoka nje. Mwezi Januari mwaka huu, uwekezaji wa nchi zilizoendelea za Magharibi nchini China uliongezeka kwa kiasi kikubwa. Miongoni mwao, Ufaransa na Sweden ziliongeza uwekezaji wao kwa mara 25 na mara 11 mtawalia, na uwekezaji halisi wa Ujerumani, Australia, na Singapore nchini China uliongezeka kwa 211.8%, 186.1%, na 77.1% mtawalia. Nchi hizi "zilipiga kura kwa miguu yao", na kuthibitisha kuwa hoja ya vyombo vya habari vya Magharibi inayoitwa "kuondoa mtaji wa kigeni kutoka China" haiwezi kukubalika.

Kwa hivyo, kwa nini kampuni za biashara zinazowekezwa kwa mtaji wa kigeni zinaongeza uwekezaji wao nchini China?

Utafiti uliofanywa na Kundi la Benki za HSBC la Uingereza unaonyesha kuwa 87% ya kampuni za ng'ambo zilizohojiwa zilisema zitapanua biashara zao nchini China zikitaja sababu mbalimbali zikiwemo, kuendelea kuimarika kwa uchumi wa China, faida kubwa zaidi za soko, minyororo ya ugavi iliyounganishwa kwa kina, n.k.

Kwa mujibu wa kampuni za kigeni zilizohojiwa, nguvu za uwezo wa utengenezaji bidhaa nchini China, ukubwa wa soko la walaji, uchumi wa kidijitali na fursa katika nyanja ya maendeleo endelevu ni mambo yanayozichochea kupanua uwekezaji wao.

Kwa mujibu wa Wang Hao, Rais wa Siemens Healthineers Greater China, China inaendelea kuhimiza ufunguaji mlango na kuboresha mazingira ya biashara, hali ambayo inatoa hakikisho thabiti kwa uwekezaji na maendeleo yao ya biashara. Hasa, kiwango cha uvumbuzi wa kiteknolojia cha China kimeendelea kuimarika katika miaka ya hivi karibuni, jambo ambalo limeleta fursa kwa makampuni kufanya uvumbuzi katika nyanja ya uwekaji digitali. Katika mwaka wa fedha wa 2023, mapato ya Siemens China yaliongezeka kwa 7% mwaka hadi mwaka. "Katika siku zijazo, tutaweka kipaumbele kwa mipango yetu ya muda mrefu katika soko la China."

Mawazo haya si ya kampuni hizi pekee. Ripoti ya hivi punde iliyotolewa na Baraza la China la Kukuza Biashara ya Kimataifa inaonesha kuwa asilimia karibu 70 ya kampuni zilizowekezwa kwa mtaji wa nchi za nje zilizohojiwa zina matumaini juu ya soko la China katika miaka mitano ijayo, na kampuni hizo zaidi ya 90% zinatarajia kuwa kiwango cha faida cha uwekezaji nchini China kitabaki sawa au kuongezeka katika miaka mitano ijayo.

Baadhi ya wachambuzi wanaeleza kuwa kwa kuanzishwa mfululizo kwa sera husika nchini China, kiwango na uwiano wa kimataifa wa kuvutia mitaji ya uwekezaji wa kigeni kitaongezeka zaidi katika siku zijazo, na hivyo kuimarisha imani ya wataalam wa kigeni kuingia katika soko la China.

Habari nyingine zinasema,“Ripoti ya Mwaka 2023 ya Uwekezaji wa Kampuni za China barani Afrika” imetolewa hivi karibuni. Katika miaka ya hivi karibuni, uwekezaji wa China barani Afrika umeongezeka kwa mfululizo, na mafanikio ya ushirikiano wa uwekezaji kati ya pande hizo mbili yamezidi kudhihirika.

Ripoti hiyo imechambua uwekezaji wa China barani Afrika kupitia miradi 21 ikiwemo Kituo cha Majaribio ya Kilimo cha Mpunga cha Madagascar, Jukwaa la Biashara ya Mtandaoni Kilimall, na Reli ya Nairobi-Malaba, na kudhihirisha kwamba ushirikiano wa uwekezaji kati ya China na Afrika umenufaisha pande hizo mbili, na kupata mafanikio makubwa.

Ushirikiano wa uwekezaji kati ya China na Afrika pia una umuhimu mkubwa kwa China. Kupitia ushirikiano huo, China inaweza kuhamisha uwezo wa uzalishaji ambao ni mkubwa zaidi kuliko mahitaji ya ndani, kuboresha mnyororo wa viwanda duniani, kuhakikisha usalama wa maliasili, na kuendeleza kampuni zake.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>