久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Soko la China laonesha Mwenendo Mpya wa Matumizi katika Manunuzi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 04, 2024

Wakati vijana wa kizazi kipya wa China wanakuwa nguvu kuu ya matumizi katika manunuzi kwenye soko, soko la China limeonesha mwenendo mpya wa matumizi hivi karibuni.

Bidhaa za mtindo wa kijadi wa kichina zinazidi kupendwa zaidi na wateja

Mnamo mwaka 2023, wateja wa China walikumbatia kwa hamasa bidhaa za nchini mwao na bidhaa za mtindo wa kijadi wa Kichina.

Bidhaa zenye ubunifu unaohusiana na Kasri la Kale la Ufalme (Forbidden City), Sanaa ya Dunhuang na mambo mengine ya kichina zinapendwa na vijana. Machaguo ya kujiburudisha kama vile kuvaa mavazi ya kijadi ya Kabila la Wahan la China na kupika chai kwa stovu pia imekuwa mambo ya kiromantiki ya kichina yanayopendwa nao.

Kupika chai kwa stovu, inamaanisha kukaa kuzunguka stovu pamoja na marafiki, ikiwa ni pamoja na machungwa, na matunda mengine, vilevile “vitu vya kuchomwa” kama vile karanga. Shughuli hiyo inatumia stovu, vyombo vya chai na kazi za kaligrafia au uchoraji, ili kuonesha uzuri wa kichina.

Takwimu kutoka jukwaa la mauzo ya bidhaa mtandaoni la JD.com zinaonesha kuwa, mwezi wa Desemba, 2023, idadi ya kutafutwa kwa maneno “kupika chai kwa stovu” iliongezeka kwa asilimia 200, huku kiwango cha miamala ya bidhaa husika kikiongezeka kwa asilimia 100.

Takwimu kutoka Taasisi ya Utafiti ya Kituo cha China cha Biashara ya Mtandaoni ya Kimataifa zinaoenesha kuwa, katika chapa 20 zilizouza bidhaa nyingi zaidi mtandaoni wakati wa tamasha la manunuzi la “Novemba 11” la mwaka 2023, chapa za China zilikuwa 11.

Kupika chai kwa stovu.(Picha na Wang Yuxuan/CNS)

Kupika chai kwa stovu.(Picha na Wang Yuxuan/CNS)

“Michezo ya Vijijini” yakuza “Uchumi wa Vijijini” wa Guizhou

Mwezi wa Machi 2023, fainali ya Michezo ya kwanza ya ligi ya mpira wa kikapu ya “Vijiji Vizuri” ya Mkoa wa Guizhou ilifanyika kwenye Kijiji cha Taipan cha Wilaya ya Taijiang ya Eneo linalojiendesha la Kabila la Wamiao na Wadong la Qiandongnan mkoani Guizhou. Idadi ya watazamaji na wafuatiliaji mtandaoni wa michezo hiyo ya siku tatu ilizidi watu bilioni 3.

Michezo ya ligi ya soka ya vijiji ya Wilaya ya Rongjiang mkoani Guizhou ilianza mwezi wa Mei 2023. Ili kuwezesha watalii kuchangamana kwa kina na haiba na mvuto wa Rongjiang, wilaya hiyo ilipanga mabanda 1,973 yasiyotozwa kodi, na mabanda karibu 2,000 yanayohamishika ya kutoa huduma za upishi, vyakula na bidhaa za kilimo, bidhaa za kumbukumbu za michezo, na huduma nyingine kwa “matazamaji wakubwa” wa michezo ya kijiji, na kutoa nafasi 4000 za ajira.

Wilaya ya Rongjiang inatumia muundo wa “michezo + matangazo ya moja kwa moja mtandaoni” kuugeuza ufuatiliaji wa watazamaji mtandaoni kwenye “uchumi wa vijijini”. Mwaka 2023 bidhaa za chapa ya “Ligi ya Vijiji” ya wilaya hiyo zikiwemo juisi ya bayberry, batiki na mapambo ya madini ya fedha zilizuwa sana mtandaoni. Kuanzia Januari hadi Agosti mauzo ya rejareja ya bidhaa hizo yalifika Yuan milioni 366 (takriban Dola za Marekani milioni 50.88) yakiongezeka kwa asilimia 25.09.

Picha iliyopigwa tarehe 27, Machi ikionesha mchezo wa Ligi ya “Vijiji BA”.

Picha iliyopigwa tarehe 27, Machi ikionesha mchezo wa Ligi ya “Vijiji BA”. (Picha/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>