久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

China Bara na Hong Kong zajipanga kukuza ushirikiano na muunganisho wa mambo ya fedha

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 02, 2024

Picha ya kumbukumbu ikionyesha mandhari ya nje ya Benki Kuu ya China, mjini Beijing, China. (Xinhua/Peng Ziyang)

Picha ya kumbukumbu ikionyesha mandhari ya nje ya Benki Kuu ya China, mjini Beijing, China. (Xinhua/Peng Ziyang)

BEIJING - Benki Kuu ya China na mamlaka ya kifedha ya Mkoa wa Utawala Maalum wa Hong Kong wa China kwa pamoja zimeanzisha hatua mpya za kuimarisha ushirikiano wa mambo ya fedha, ambao unatarajiwa kuongeza ufunguaji mlango wa sekta ya fedha ya China na kuimarisha jukumu la Hong Kong kama kituo cha mambo ya fedha cha kimataifa.

Hatua sita zimetangazwa kwa umma zikiangazia uboreshaji wa muunganisho wa soko na kurahisisha mtaji wa kuvuka mipaka kati ya China Bara na Hong Kong.

Kwanza, hati fungani chini ya mpango wa Bond Connect, ambazo ni pamoja na hati fungani za renminbi (RMB) na hati fungani za kifedha zinazotolewa na benki za kisera zitaruhusiwa kuwa sehemu ya dhamana inayostahiki kwa mpangilio wa ukwasi wa RMB wa Mamlaka ya Fedha ya Hong Kong (HKMA), Pili, wawekezaji wa kigeni wanaweza kushiriki kwa undani zaidi katika shughuli ya kununua dhamana za China na tatu, sheria za maelezo ya kina ambazo zilichapishwa kuboresha Mpango wa Kuunganisha Usimamizi wa Mitaji wa kuvuka Mipaka katika Eneo la Ghuba Kuu ya Guangdong-Hong Kong-Macao (GBA) pia utaimarishwa.

Hatua nyingine zilizochukuliwa ni pamoja na, wakazi wa Hong Kong na Macao kunufaisha sera za nafuu kuhusu malipo ya ununuzi wa nyumba katika miji mingine ya GBA ili kukidhi vyema mahitaji yao ya makazi, ushirikiano wa uchunguzi wa kifedha wa Shenzhen-Hong Kong utapanuliwa ili kuwezesha uwekezaji wa kuvuka mipaka na mwisho, kuimarisha majaribio ya sarafu ya kidijitali ya RMB ili kuhudumia vyema wakazi na kampuni za Hong Kong na China Bara.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>