久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Vituo vya mafuta vya Kenya vyakabiliwa na hasara kubwa wakati Uganda ikihamia bandari ya Dar

(CRI Online) Januari 30, 2024

Takwimu mpya zinaonesha kuwa Kenya imepoteza mauzo ya nje yenye thamani ya dola milioni 200 kwenda Uganda, soko lake kubwa zaidi la kikanda, tangu Oktoba 2023.

Wataalam wanaonya kuwa itapoteza zaidi katika siku zijazo, wakati vita juu ya uagizaji wa mafuta ya petroli kutoka nje vinaongezeka, huku miundombinu mikuu ya mafuta ikiwa katika hatari ya kutumiwa chini ya uwezo wake.

Wiki iliyopita, Uganda ilitangaza kuhamishia Tanzania masuala ya kuagiza mafuta baada ya jitihada zake za kutaka Kampuni ya Taifa ya Mafuta ya Uganda (Unoc), ambayo ni muuzaji wa kitaifa wa mafuta, isajiliwe nchini Kenya ili kurahisisha uagizaji bidhaa kupitia bandari ya Mombasa kugonga ukuta.

Waziri wa Nishati wa Uganda Ruth Nankabirwa amewaambia waandishi wa habari mjini Kampala kwamba Kenya kuendelea kukatisha tamaa mkataba wa Unoc kunatishia uthabiti wa usambazaji wa mafuta nchini Uganda.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>