久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Mtiririko wa mtaji wa kuvuka mpaka wa China kuimarika zaidi Mwaka 2024

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 25, 2024

Picha ya kumbukumbu ikionyesha mandhari ya nje ya Benki Kuu ya China mjini Beijing, China. (Xinhua/Peng Ziyang)

Picha ya kumbukumbu ikionyesha mandhari ya nje ya Benki Kuu ya China mjini Beijing, China. (Xinhua/Peng Ziyang)

BEIJING - Zhu Hexin, Naibu mkuu wa Benki Kuu ya China amesema siku ya Jumatano kwenye mkutano na waandishi wa habari kuwa mtiririko wa mtaji wa kuvuka mipaka nchini China unatarajiwa kuimarika zaidi mwaka huu, kwani ziada ya sasa ya akaunti ya China itaendelea katika kiwango cha mwafaka na shughuli za kuingiza kwa mitaji ya kigeni zitaongezeka Mwaka 2024.

Zhu, ambaye pia Mkuu wa Idara ya Mabadilishano ya Fedha za Kigeni ya Serikali ya China amesema kuwa mtiririko wa mtaji wa kuvuka mpaka nchini China umekuwa thabiti zaidi hivi karibuni, kwani akaunti ya sasa inaendelea kushuhudia mtaji kuingia.

Ziada ya sasa ya akaunti ya China kwa Mwaka 2023 inatarajiwa kufikia dola karibu bilioni 280 za Marekani na ziada ya sasa ya biashara ya bidhaa itazidi dola bilioni 600, amesema Zhu.

Aidha, uwekezaji wa hivi karibuni wa kigeni nchini China pia umeonyesha mwelekeo mzuri, amesema Zhu.

Inakadiriwa sana kuwa Benki Kuu ya Marekani itafanya mabadiliko fulani katika sera yake ya fedha Mwaka 2024, na kama hiyo itatokea, China itaathiriwa kidogo kutoka kwa sera ya Marekani na hali ya nje kuhusu mambo ya fedha itaboreshwa, Zhu amesema.

China inatarajiwa kushuhudia ongezeko la uwekezaji wa kigeni mwaka huu, amesema Zhu.

Ameongeza kuwa China ina imani kuwa thamani ya soko la sarafu yake ya RMB itaonekana zaidi katika uwekezaji wa aina mbalimbali kwani nchi hiyo ina minyororo kamili ya viwanda na soko kubwa zaidi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>