久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Mwenyekiti wa WEF aonyesha imani yake kwa uchumi wa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 24, 2024

Mwenyekiti Mtendaji wa Baraza la Uchumi Duniani (WEF) Klaus Schwab ameonyesha imani yake kwa mustakabali wa uchumi wa China kwenye mahojiano na Shirika la Utangazaji la Kimataifa la China CGTN hivi karibuni kwenye Mkutano wa Mwaka wa WEF mjini Davos, Uswisi.

Klaus Schwab, mwanzilishi na mwenyekiti mtendaji wa Baraza la Uchumi Duniani (WEF), akifanyiwa mahojiano na Shirika la Utangazaji la Kimataifa la China CGTN. (Picha/CGTN)

Klaus Schwab, mwanzilishi na mwenyekiti mtendaji wa Baraza la Uchumi Duniani (WEF), akifanyiwa mahojiano na Shirika la Utangazaji la Kimataifa la China CGTN. (Picha/CGTN)

Schwab amesema alitembelea China Mwaka 1979 na amekuwa akivutiwa na maendeleo ya uchumi ya China tangu wakati huo. Wakati huo, Pato la Taifa la China lilikuwa chini zaidi ya mara 100 kuliko ilivyo sasa, na kiwango cha biashara yake kilikuwa na tofauti kubwa zaidi.

Schwab anaona kuwa China imebadilika kutoka nchi iliyokuwa haina maendeleo hadi kuongoza katika teknolojia nyingi.

Licha ya baadhi ya maoni kusema kuwa maendeleo ya uchumi ya China yamefikia kilele chake, Schwab anaamini China itakabiliana vilivyo na changamoto kama vile jamii inayozeeka, madeni na soko la mali isiyohamishika. Ameeleza imani yake kuwa China itagundua miundo mipya ya ukuaji wa uchumi.

Wakati Pato la Taifa la China (GDP) limekua na kuchukua asilimia 20 ya Pato la Jumla la Dunia, Pato la Taifa kwa kila mtu bado linaendelea kuwa la chini kuliko lile la nchi nyingi zilizoendelea, na hivyo kuonyesha uwezekano wa kujiendeleza, kujipatia ongezeko na uhai wa uchumi katika siku za usoni, kwa mujibu wa Schwab.

"Nchi zote kwa sasa zinapitia nyakati ngumu za kiuchumi kwa sababu tofauti, lakini nahisi China itakuwa na busara ya kutatua changamoto husika zinazoukabili uchumi wa China," amesema Schwab.

Mkutano wa Mwaka wa WEF ulifanyika kuanzia Januari 15 hadi 19, 2024.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>