久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

China yatoa mwongozo mpya wa sera ya kodi za kuleta utulivu wa uwekezaji kigeni na biashara ya nje

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 17, 2024

Picha iliyopigwa Januari 31, 2023 ikionyesha eneo la ujenzi wa mradi wa uundaji wa magari yanayotumia nishati mpya (NEV) la Kampuni ya Magari ya Audi-FAW mjini Changchun, Mkoa wa Jilin, Kaskazini Mashariki mwa China. (Picha na Wang Meng/Xinhua)

Picha iliyopigwa Januari 31, 2023 ikionyesha eneo la ujenzi wa mradi wa uundaji wa magari yanayotumia nishati mpya (NEV) la Kampuni ya Magari ya Audi-FAW mjini Changchun, Mkoa wa Jilin, Kaskazini Mashariki mwa China. (Picha na Wang Meng/Xinhua)

BEIJING - China siku ya Jumanne imetoa mwongozo mpya wa sera ya kodi kuhusu kuleta utulivu wa uwekezaji wa kigeni na biashara ya nje ya China ili kujenga mazingira mazuri ya kodi kwa maendeleo yao.

Takwimu zilizotolewa na Idara kuu ya kodi ya kitaifa zimeonesha kuwa, toleo la mwongozo mpya linajumuisha vipengee 51 vinavyoshughulikia nyanja kuu mbili za uwekezaji wa kigeni na biashara ya nje.

Katika uchanganuzi, hatua 19 zinazohusu kuleta utulivu wa biashara ya nje, zikiwa ni pamoja na sera za mauzo ya bidhaa na huduma nje ya nchi, sera za kodi ya nyongeza za thamani kwenye shughuli za kutozwa ushuru zinazovuka mipaka, sera za aina mpya za biashara ya nje, na sera za kuwezesha punguzo na misamaha ya kodi kwa biashara ya kuuza nje bidhaa.

Hatua jumla ya 32 zimetolewa ili kuleta utulivu wa uwekezaji wa kigeni, kama vile sera za kuhimiza uwekezaji wa kigeni, imesema idara hiyo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>