久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Waziri wa Biashara asema: China yapiga hatua madhubuti kuelekea lengo la kuwa nchi ya biashara yenye sifa bora

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 10, 2024

BEIJING - Waziri wa Biashara wa China Wang Wentao amesema siku ya Jumanne kwamba, China ni nchi yenye ukubwa wa biashara zaidi kuliko nchi nyingine duniani, na sasa inapiga hatua madhubuti kuelekea lengo la kuwa nchi ya biashara yenye sifa bora.

Wang, wakati akitoa ripoti maalum kuhusu maendeleo ya biashara ya nje ya China kwenye kongamano kuhusu hali ya uchumi lililofanyika mjini Beijing, amesema kuwa biashara ya nje ya China imehimili shinikizo la kushuka kwa uchumi Mwaka 2023, ambapo ukubwa wake na mgao wake katika biashara ya dunia vimeendelea kuwa tulivu kwa ujumla.

“Wakati huo huo, muundo wa biashara ya nje ya nchi umeboreshwa zaidi na washirika wake kuwa wa aina mbalimbali zaidi katika Mwaka 2023, ambayo ilionyesha vya kutosha uhimilivu mkubwa,” Wang amesema.

Huku akielezea hatari na changamoto kama kudorora kwa mahitaji ya nje, waziri huyo amesema kuwa misingi ya ukuaji wa uchumi wa muda mrefu wa China haijabadilika, hali ambayo inatoa uungaji mkono mkubwa kwa maendeleo ya biashara ya nje ya China.

"Tuna uwezo na kujiamini kupata maendeleo mapya katika kusukuma mbele maendeleo ya biashara yenye sifa bora na kuendelezwa kwenye kiwango cha juu zaidi," Wang amesema.

Waziri huyo amesema, Wizara kwa kutilia maanani misingi ya Mkutano Mkuu wa 20 wa Chama cha Kikomunisti cha China na mipango kazi iliyowekwa kwenye Mkutano wa Kamati Kuu ya Chama kuhusu Kazi za Uchumi uliofanyika hivi karibuni, itaweka mkazo katika kufanya juhudi za kupanua ufunguaji mlango wa kiwango cha juu, kuleta vichochezi vipya vya biashara ya nje, kupanua biashara ya bidhaa za kati, biashara ya huduma, biashara ya kidijitali, na mauzo ya nje ya biashara ya kuvuka mipaka ya mtandaoni, na kuendeleza kwa kina ushirikiano wa kimataifa wa kiuchumi na kibiashara.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>