久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Rais Ruto asema hana udhibiti wa mambo yanayosababisha kuongezeka kwa gharama ya maisha

(CRI Online) Desemba 18, 2023

Rais William Ruto amesema kuwa mambo yanayozidisha gharama kubwa za maisha yako nje ya uwezo wake.

Katika mahojiano ya pamoja na wanahabari Jumapili jioni, Dkt Ruto amesema Wakenya watalazimika kusubiri kwa muda hadi kiwango cha dola/shilingi kiwe kizuri, akisisitiza kuwa hakuna muujiza utakaotokea.

Ameendelea kubainisha kwamba bei ya mafuta haidhibitiwi na serikali ya Kenya, bali inadhibitiwa na wazalishaji.

Amesema serikali ilibidi kuchukua maamuzi magumu na yenye maumivu, lakini ameongeza kuwa ni bora kuchukua maamuzi haya leo kuliko kuwaweka Wakenya katika dhiki ya madeni. Hata hivyo amesema alijua kabla ya kuchaguliwa kuwa isingekuwa rahisi.

Pia amesisitiza kuwa bei ya mafuta nchini Kenya ni sawa na ya Uganda na Tanzania kwa sababu nchi zote hizi zinanunua mafuta kutoka kwa wazalishaji wale wale.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>