Lugha Nyingine
Rais wa China na mkewe wahudhuria karamu ya kuwakaribisha nchini Vietnam
(CRI Online) Desemba 13, 2023
(Picha inatoka Shirika la Habari la China Xinhua.)
Rais wa China Xi Jinping na mkewe Peng Liyuan Jumanne wameandaliwa karamu ya kuwakaribisha na Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha Vietnam (CPV) Nguyen Phu Trong na mkewe pamoja na Rais wa Jamhuri ya Kijamaa ya Vietnam Vo Van Thuong na mkewe.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma