久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Rais wa China akutana na kiongozi wa Brunei

(CRI Online) Novemba 17, 2023

(Picha inatoka Shirika la Habari la China Xinhua.)

(Picha inatoka Shirika la Habari la China Xinhua.)

Rais Xi Jinping wa China jana huko San Francisco nchini Marekani amekutana na Sultani wa Brunei Haji Hassanal Bolkiah.

Rais Xi amesema China na Brunei zimedumisha urafiki wa jadi kwa muda mrefu, ni majirani wema wanaotengwa na bahari, na pia ni wenzi wazuri wa kuaminiana na kuungana mkono.

Amesema China inapenda kushirikiana na Brunei kuhimiza uhusiano wao kupata maendeleo mapya, na kusukuma mbele ushirikiano katika kujenga kwa pamoja “Ukanda Mmoja, Njia Moja”, ili kuwaletea wananchi wa nchi hizo mbili manufaa zaidi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>