久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Vifurushi milioni 639 vyashughulikiwa ndani ya siku moja wakati wa Siku ya manunuzi mtandaoni ya China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 14, 2023

Siku ya Jumapili, wafanyakazi wakiainisha vifurushi kwenye karakana ya Posta ya China  ya Yongzhou, Mkoa wa Hunan wa China. Mwaka huu kampuni za  usambazaji wa bidhaa zilichukua hatua nyingi ili kuhakikisha vifurushi   vinapelekwa kwa wateja kwa wakati katika  Siku ya “11 na 11” ya manunuzi mtandaoni ya China . (Picha ilipigwa na Xinhua)

Siku ya Jumapili, wafanyakazi wakiainisha vifurushi kwenye karakana ya Posta ya China ya Yongzhou, Mkoa wa Hunan wa China. Mwaka huu kampuni za usambazaji wa bidhaa zilichukua hatua nyingi ili kuhakikisha vifurushi vinapelekwa kwa wateja kwa wakati katika Siku ya “11 na 11” ya manunuzi mtandaoni ya China. (Picha ilipigwa na Xinhua)

Idara ya Posta ya China Jumapili ilisema kuwa, ndani ya siku moja ya Jumamosi iliyopita, China ilishuguhlikia vifurushi milioni 639, ambavyo vimeweka rekodi mpya na kuonesha uthabiti na uhai wa maendeleo ya uchumi wa China.

Tarehe 11, Novemba, ambayo huitwa “11 na 11”, ni moja ya siku muhimu zaidi ya manunuzi mtandaoni nchini China. Idara ya Posta ya China ilisema, kiasi cha biashara zilizofanywa katika siku hiyo kilikuwa mara 1.87 ya kile cha siku ya kawaida, na kimeongezeka kwa asilimia 15.76 kuliko kipindi kama hicho cha mwaka jana.

Kuanzia tarehe mosi, Novemba hadi Jumamosi iliyopita, vifurushi zaidi ya bilioni 5.26 vilishughulikiwa, vikiongezeka kwa asilimia 23.22 kuliko kipindi kama hicho cha mwaka jana.

Rekodi nyigine ya mizigo wakati wa “11 na 11” imeashiria ufufukaji wa soko la manunuzi la China.

Katika muongo uliopita, shughuli za usambazaji wa vifurushi ziliendelezwa katika hali motomoto. Hadi mwezi Oktoba mwaka huu, China imeshughulikia vifurushi zaidi ya bilioni 100, na kiasi hicho cha mwaka mzima kilikuwa chini ya bilioni 9.2 mwaka 2013.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>