Lugha Nyingine
Rais wa China kukutana na Rais wa Marekani na kuhudhuria mkutano wa APEC
(CRI Online) Novemba 13, 2023
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Hua Chunying tarehe 10 alitangaza kuwa, rais Xi Jinping wa China atafanya ziara mjini San Francisco, Marekani kuanzia tarehe 14 hadi tarehe 17 Novemba, ambapo atazungumzana na rais Joe Biden, na kuhudhuria kwenye Mkutano wa 30 usio rasmi wa viongozi wa Shirika la Ushirikiano wa Uchumi wa Asia na Pasifiki (APEC).
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma