久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Pato la Taifa la China kukua kwa asilimia 5.4 Mwaka 2023: IMF

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 08, 2023

Beijing - Pato halisi la Taifa la China (GDP) linatarajiwa kukua kwa asilimia 5.4 Mwaka 2023, taarifa ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) iliyotolewa na ujumbe wake ulioko ziarani nchini China unaoongozwa na Sonali Jain-Chandra imesema Jumanne.

"Uchumi wa China uko mbioni kufikia lengo la serikali la ukuaji wa Mwaka 2023, na kuakisi kuimarika kwa kiasi kikubwa baada ya UVIKO-19," inasema taarifa hiyo iliyotolewa na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Kwanza wa IMF, Gita Gopinath, kufuatia ziara hiyo ya China kuanzia Oktoba 26 hadi Nov. 7 ambayo ilihusisha kufanya majadiliano juu ya Mashauriano ya Kifungu cha Nne Mwaka 2023 na wadau wa umma na sekta binafsi wa China.

Kwenye mkutano na waandishi wa habari wakati wa kuhitimisha ujumbe huo Jumanne mjini Beijing, Gopinath amesema makadirio hayo yanaakisi marekebisho ya asilimia 0.4 zaidi kwenye Mtazamo wa Uchumi wa Dunia uliotolewa Mwezi Oktoba, kutokana na ukuaji mkubwa kuliko ilivyotarajiwa katika Robo ya Tatu na sera mbalimbali zilizotolewa hivi karibuni.

"Uongozi unaoongezeka wa China katika kushughulikia changamoto za kimataifa, kama vile mabadiliko ya tabianchi na matatizo ya madeni, ni muhimu kwa China na Dunia.” imesema taarifa hiyo.

Thomas Helbling, Naibu Mkurugenzi wa IMF wa Idara ya Asia na Pasifiki, ameuambia mkutano huo kuwa fursa za China katika siku zijazo zinatokana na misingi mizuri, ikiwa ni pamoja na rasilimali yake ya watu na mazingira mazuri ya biashara.

Pato la Taifa la China liliongezeka kwa asilimia 4.9 katika robo ya tatu (Q3) ya mwaka huu, ikiwa ni juu kwa asilimia 1.3 zaidi kuliko Robo ya Pili. Lilikua kwa asilimia 5.2 katika robo tatu za kwanza za Mwaka 2023 kuliko mwaka jana wakati kama huu, kwa mujibu wa Idara ya Taifa ya Takwimu ya China.

China inahitaji tu ukuaji wa Pato la Taifa wa asilimia 4.4 katika robo ya nne ya mwaka huu ili kufikia lengo lake la mwaka la ukuaji wa karibu asilimia 5.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>