Lugha Nyingine
Waziri Mkuu wa China kuhudhuria ufunguzi wa Maonyesho ya 6 ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) na kutoa hotuba
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 03, 2023
Beijing - Waziri Mkuu wa China Li Qiang atahudhuria hafla ya ufunguzi wa Maonyesho ya 6 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) na Baraza la Kimataifa la Uchumi la Hongqiao siku ya Jumapili Novemba 5 na kutoa hotuba kuu, Msemaji wa Wizara ya Biashara ya China, Shu Jueting amesema leo Ijumaa.
Amsema, hafla hiyo ya ufunguzi itafanyika Shanghai.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma