久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Xi asema ushirikiano wa kunufaishana ni njia ya uhakika ya mafanikio katika kuzindua mipango mikuu

(CRI Online) Oktoba 18, 2023

(Picha inatoka Xinhua.)

(Picha inatoka Xinhua.)

Ushirikiano wa kunufaishana ni njia ya uhakika ya kufanikiwa katika kuanzisha mipango mikuu ambayo inawanufaisha wote.

Hayo yamesemwa na rais wa China Xi Jinping leo Jumatano kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Kilele wa Ukanda Mmoja, Njia Moja na kueleza kwamba nchi zinapokumbatia ushirikiano na kuchukua hatua kwa pamoja, pengo kubwa linaweza kugeuzwa kuwa njia ya kupita, nchi zisizo na bahari zinaweza kuunganishwa na bahari, na mahali penye maendeleo duni panaweza kugeuzwa kuwa nchi ya ustawi.

"Nchi zinazoongoza katika maendeleo ya kiuchumi zinapaswa kusaidia washirika wao ambao bado hawajafanikiwa. Sote tunapaswa kuchukuliana kama marafiki na washirika, kuheshimiana na kuungana mkono, na kusaidiana kufanikiwa," Xi alisema.

Xi aliongeza kuwa kama msemo unavyosema, "unapompa mwingine waridi, lazima utanukia." Kwa maneno mengine, kusaidia wengine pia ni sawa na kujisaidia mwenyewe.

Xi alibainisha kuwa kuona maendeleo ya wengine kama tishio au kuchukulia kutegemeana kiuchumi kama hatari hakutafanya maisha ya mtu kuwa bora zaidi au kuharakisha maendeleo yake.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>