久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

China yatoa mwongozo wa kuhimiza maendeleo ya mambo ya fedha yenye ubora wa hali ya juu ya huduma

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 12, 2023

Mtu akifanya kazi kwenye karakana ya kampuni ya grasi ya  Wilaya ya Cangxian mkoani Hebei, Kaskazini mwa China, Februari 8, 2023. (Xinhua/Mu Yu)

Mtu akifanya kazi kwenye karakana ya kampuni ya grasi ya Wilaya ya Cangxian mkoani Hebei, Kaskazini mwa China, Februari 8, 2023. (Xinhua/Mu Yu)

Beijing - Baraza la Serikali la China limetoa waraka wa mwongozo unaobainisha sera na hatua za kuhimiza maendeleo ya mambo ya fedha yenye ubora wa hali ya juu ya huduma zinazonufaisha watu wa ngazi zote kwenye jamii na makundi yote ya watu katika miaka mitano ijayo.

Ndani ya miaka hiyo mitano, mfumo wa mambo ya fedha yenye ubora wa hali ya juu ya hudumu hizo utaanzishwa kimsingi, ambao unatarajia hatua za maendeleo kufikiwa kuhusu upatikanaji wa huduma za msingi za mambo ya fedha, urahisi wa kupata fedha, usaidizi kwa ajili ya ustawishaji wa vijiji, elimu na ulinzi wa watumiaji, udhibiti wa hatari za mambo ya fedha pamoja na mifumo mingine ya usaidizi.

“Juhudi zitafanywa ili kuboresha bidhaa na huduma muhimu za mambo ya fedha, kuongeza ubora wa huduma zinazonufaisha maisha ya watu, pamoja na kusaidia maendeleo endelevu ya wadau wa biashara ndogo na za kati, ustawishaji wa vijiji, maendeleo yasiyochafua mazingira na kutoa kaboni chache,” waraka huo unasema.

Pia umetoa wito wa kuendeleza mageuzi ya muundo wa upande wa utoaji wa huduma za kifedha, kuzuia hatari za mambo ya fedha katika maeneo muhimu, kuongeza ujuzi na uwezo wa umma juu ya mambo ya fedha, na kukamilisha mfumo wa ulinzi wa haki na maslahi ya watumiaji wa huduma za kifedha.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>