久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Benki za Kenya zazindua mfumo wa kuripoti mambo ya fedha ili kudhibiti hatari zinazotokana na tabia nchi

(CRI Online) Septemba 08, 2023

Benki za Kenya zimezindua mfano wa namna ya kuripoti mambo ya kifedha unaohusiana na hatari za tabia nchi, ambao unatoa muhtasari wa jinsi wakopeshaji wa kibiashara wa nchi wanavyoweza kudhibiti hatari za kifedha zinazohusiana na mabadiliko ya tabia nchi.

Ofisa mkuu mtendaji wa Chama cha Mabenki cha Kenya (KBA) Bw. Habil Olaka, amesema mjini Nairobi kuwa mfano huo umejikitia kwenye nguzo nne zinazosimamia shughuli za benki, ikiwa ni pamoja na utawala, mkakati, usimamizi wa hatari na malengo.

Amesema benki zinaweza kuimarisha uwazi na kuwasilisha mbinu zao kuhusu hatari na fursa zinazohusiana na mabadiliko ya tabia nchi.

Kenya ni miongoni mwa nchi za Afrika zinazobeba mzigo mzito unaosababishwa na mabadiliko ya tabia nchi, ikishuhudia ukame mkali, matatizo ya maji na uhaba wa chakula.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>