久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Mkutano wa kilele wa uwekezaji waanza nchini Rwanda ili kuendeleza ujenzi wa miji ya kisasa barani Afrika

(CRI Online) Septemba 07, 2023

Wajumbe wanaohudhuria Mkutano wa Kilele wa Uwekezaji wa Miji ya Kisasa ya Afrika (Smart City) unaofanyika mjini Kigali, Rwanda wametoa wito kwa viongozi na watunga sera wa Afrika kutetea kuundwa kwa miji ya kisasa ili kupunguza msongamano, kuendeleza uvumbuzi na kuhimiza ukuaji endelevu wa miji.

Wajumbe wamesema hayo kwenye ufunguzi wa mkutano huo wa siku tatu, ambao unalenga kuangaza juu ya umuhimu wa miji ya kisasa ambayo inaweza kuchochea ukuaji endelevu, kuboresha mazingira ya watu kuishi na kuharakisha uvumbuzi kote barani Afrika.

Meya wa Mji wa Kigali Bwana Pudence Rubingisa amesema mustakabali wa miji ya kisasa uko mikononi mwa wajumbe washiriki wa mkutano huo, lakini maendeleo ya miji hiyo yanategemea kujitolea kwao katika uvumbuzi na ushirikiano. Amesema kuna haja ya kuongeza uwekezaji katika kurahisisha usafiri, usimamizi wa taka na utoaji wa huduma wakati ambapo nchi zinapoanza kuendeleza miji ya kisasa.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>