久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Maonyesho ya China na Asia ya Kaskazini-Mashariki yahitimishwa kwa kuweka rekodi ya miradi ya uwekezaji

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 28, 2023

Watu wakitembelea Maonyesho ya 14 ya China na Asia ya Kaskazini Mashariki huko Changchun, Mji Mkuu wa Mkoa wa Jilin, Kaskazini-Mashariki mwa China, Agosti 24, 2023. (Xinhua/Xu Chang)

Watu wakitembelea Maonyesho ya 14 ya China na Asia ya Kaskazini Mashariki huko Changchun, Mji Mkuu wa Mkoa wa Jilin, Kaskazini-Mashariki mwa China, Agosti 24, 2023. (Xinhua/Xu Chang)

CHANGCHUN - Mikataba ya uwekezaji yenye thamani ya yuan bilioni 84.48 (sawa na dola za kimarekani bilioni 11.59) imetiwa saini kwenye Maonyesho ya 14 ya China na Asia ya Kaskazini-Mashariki, yaliyohitimishwa Jumapili huko Changchun, Mji Mkuu wa Mkoa wa Jilin ulioko Kaskazini Mashariki mwa China.

Jumla ya miradi 99 imetiwa saini katika maonyesho hayo ya siku tano, na kuweka rekodi mpya ya uwekezaji wa miradi, amesema Lyu Haiqiang, naibu mkurugenzi wa kamati ya utendaji ya maonyesho hayo.

“Ubia katika uwekezaji huu unahusisha sekta mbalimbali, ikiwa ni pamoja na nishati mpya, kilimo cha kisasa, viwanda, dawa, huduma za afya, na huduma za kisasa,” Lyu amesema.

Yakiwa na kauli mbiu isemayo "Maendeleo ya Pamoja ya Asia ya Kaskazini-Mashariki katika Ushirikiano kwa ajili ya Siku za Baadaye," maonyesho hayo yameshuhudia ushiriki wa ana kwa ana wa wafanyabiashara zaidi ya 20,000 kutoka nchi na maeneo 123.

Zaidi ya hayo, jukwaa moja la maonyesho la mtandaoni pia lilivutia waonyeshaji zaidi ya 1,840 wanaotafuta fursa za ushirikiano katika eneo la Asia ya Kaskazini-Mashariki, ambalo ni mojawapo ya maeneo yenye nguvu zaidi ya kiuchumi duniani.

Maonesho ya China na Asia ya Kaskazini-Mashariki yamekuwa jukwaa muhimu la kujenga maelewano na kujenga ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara kati ya China na nchi jirani, na hata nyinginezo.

Tangu kuanzishwa kwake Mwaka 2005, Maonyesho ya China na Asia ya-Kaskazini Mashariki yamefanyika mara 14, na kushuhudia miradi zaidi ya 3,000 ya ushirikiano yenye thamani ya uwekezaji inayozidi yuan trilioni 2 kusainiwa.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>