久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Rais wa Afrika Kusini aonya dhidi ya kujihami kiuchumi na hatua za upande mmoja

(CRI Online) Agosti 24, 2023

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa Jumanne ameonya dhidi ya wimbi jipya la kujihami kiuchumi na athari za hatua za upande mmoja, na kutoa wito wa uwazi na ujumuishi ili kulinda ukuaji wa uchumi.

Akizungumza katika Jukwaa la Majadiliano ya Biashara ya Viongozi Wakuu wa BRICS mjini Johannesburg, Afrika Kusini, Rais Ramaphosa amesema nchi za BRICS zimeibuka na kuwa nguvu ya kusukuma ukuaji wa uchumi wa dunia, na mabadiliko yaliyotokea kwenye nchi hizo katika muongo mmoja uliopita yamefanya mambo mengi katika mageuzi ya muundo wa uchumi wa dunia.

Amesema thamani ya jumla ya biashara kati ya nchi wanachama wa BRICS imefikia dola za kimarekani bilioni 162 mwaka 2022, na kusisitiza umuhimu wa nafasi ya uwekezaji wa kigeni katika ukuaji wa uchumi wa nchi za BRICS.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>