Lugha Nyingine
Maonyesho ya 14 ya Biashara ya Tianjin na Taiwan yaanza mjini Tianjin, Kaskazini mwa China
Watu wakishiriki katika shughuli ya kutangaza bidhaa mpya za kampuni za Taiwan kwenye Maonyesho ya 14 ya Biashara ya Tianjin na Taiwan yanayofanyika katika Mji wa Tianjin, Kaskazini mwa China, Agosti 22, 2023. Maonyesho hayo ya siku nne yameanza Tianjin Jumanne. (Xinhua/Sun Fanyue)
Watu wakishiriki katika shughuli ya kutangaza bidhaa mpya za kampuni za Taiwan kwenye Maonyesho ya 14 ya Biashara ya Tianjin na Taiwan yanayofanyika katika Mji wa Tianjin, Kaskazini mwa China, Agosti 22, 2023. (Xinhua/Sun Fanyue)?
Picha hii iliyopigwa Agosti 22, 2023 ikionyesha hafla ya kutia saini makubaliano kwenye Maonyesho ya 14 ya Biashara ya Tianjin na Taiwan yanayofanyika katika Mji wa Tianjin, Kaskazini mwa China, Agosti 22, 2023. (Xinhua/Sun Fanyue)?
Picha hii iliyopigwa Agosti 22, 2023 ikionyesha hafla ya ufunguzi wa Maonyesho ya 14 ya Biashara ya Tianjin na Taiwan yanayofanyika katika Mji wa Tianjin, Kaskazini mwa China, Agosti 22, 2023. (Xinhua/Sun Fanyue)
Watu wakihudhuria hafla ya ufunguzi wa Maonyesho ya 14 ya Biashara ya Tianjin na Taiwan yanayofanyika katika Mji wa Tianjin, Kaskazini mwa China, Agosti 22, 2023. (Xinhua/Sun Fanyue)
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma