久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Uchumi wa China wadumisha?kasi ya kuimarika na ukuaji wenye ubora Mwezi Julai

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 16, 2023

Watu wakila chakula kwenye Soko la Fushansuo katika Wilaya ya Shinan iliyoko Mji wa Qingdao, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China, Agosti 7, 2023. (Xinhua/Li Ziheng)

Watu wakila chakula kwenye Soko la Fushansuo katika Wilaya ya Shinan iliyoko Mji wa Qingdao, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China, Agosti 7, 2023. (Xinhua/Li Ziheng)

Beijing - Mwekeleo wa kufufuka kwa uchumi wa China unaendelea kuimarika mwezi uliopita na kupiga hatua thabiti katika maendeleo yenye ubora wa juu licha ya shinikizo la kushuka kwa uchumi wa Dunia.

Mauzo ya reja reja ya bidhaa za walaji, ambayo yanaonyesha nguvu ya matumizi kwenye manunuzi, yaliongezeka kwa asilimia 7.3 ikilinganishwa na mwaka uliopita katika miezi saba ya kwanza, na uwekezaji wa mali isiyohamishika ulipanda kwa asilimia 3.4, Ofisi ya Taifa ya Takwimu ya China (NBS) imesema siku ya Jumanne.

Sekta ya huduma imeendelea kuwa hai kwani kiwango chake cha uzalishaji kimeongezeka kwa asilimia 5.7 Mwezi Julai kuliko mwaka jana wakati kama huo, na pato la viwanda limeongezeka kwa asilimia 3.7. Kiwango cha ukosefu wa ajira mijini kilikuwa asilimia 5.3, chini ya asilimia 5.4 mwaka uliopita.

“Uchumi wa China umedumisha mwelekeo wa kuongezeka, huku kukiwa na ongezeko la uzalishaji na mahitaji, utulivu wa ajira na bei, na mageuzi ya viwanda yanayotekelezwa kwa madhubuti,” Msemaji wa NBS Fu Linghui amesema kwenye mkutano na waandishi wa habari Jumanne.

Matumizi katika manunuzi yamekuwa ni kinara cha ukuaji mwezi uliopita. Matumizi katika huduma yameongezeka kwa asilimia 20.3 katika kipindi cha Januari hadi Julai, kutokana na utalii ulioshamiri wa likizo ya majira ya joto. Mwezi Julai, mapato yatokanayo na kutazama filamu kwenye majumba ya sinema yaliongezeka kwa asilimia 111 kutoka mwezi uliopita, na mauzo ya magari yanayotumia nishati mpya (NEV) yaliongezeka kwa zaidi ya asilimia 30.

Mageuzi ya viwanda ulishika kasi na kasi ya uvumbuzi imeongezeka. Uwekezaji kwenye teknolojia ya hali ya juu uliongezeka kwa asilimia 11.5 katika miezi saba ya kwanza, na fedha za utafiti wa kisayansi na teknolojia ziliongezeka kwa asilimia 23.1. Uzalishaji wa magari yanayotumia nishati mpya na betri za jua uliongezeka kwa asilimia 24.9 na asilimia 65.1 mwezi Julai, mtawalia.

"Licha ya shinikizo na changamoto, tunayo mazingira mazuri ya kudumisha kuimarika kwa uchumi na maendeleo yenye ubora wa juu," Fu amesema. "Uchumi utadumisha ufanisi mzuri na kiwango bora cha maendeleo katika nusu ya pili."

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>