久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

China yatangaza?sera za kuchochea ongezeko la matumizi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 01, 2023

Kamati ya maendeleo na mageuzi ya China (NDRC) imetangaza hatua kadhaa za kuhimiza matumizi, wakati ikienda na juhudi za kudumisha ongezeko la uchumi na kuhimiza maendeleo ya hali ya juu.

Kamati hiyo imeahidi kuchochea matumizi ya bidhaa na huduma mbalimbali, ikiwa ni pamoja na magari yanayotumia nishati mpya (NEVs), vifaa vya nyumbani, vifaa vya kielektroniki, vyombo vya kupikia, sekta za utamaduni na utalii, na katika maeneo ya vijijini. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na kamati hiyo, uungaji mkono pia utatolewa kusaidia kutatua changamoto sugu ya kupata nyumba za kuishi na kuwa na maisha bora.

Naibu mkuu wa kamati hiyo Bw. Li Chunlin, amewaambia wanahabari kuwa hatua hizo zinalenga kuleta utulivu wa matumizi yanayohitaji pesa nyingi, kupanua matumizi kwenye sekta ya huduma, kuhimiza matumizi vijijini, kutafuta aina mpya za matumizi, kuboresha vifaa vya matumizi, na kuboresha mazingira ya matumizi.

Taarifa iliyotolewa na kamati hiyo pia imesema juhudi zaidi zinatakiwa kufanywa ili kujenga miundombinu yenye sifa ya juu ya kuchaji magari ya nishati mpya, kukuza matumizi ya magari ya nishati mpya katika maeneo ya vijijini, pamoja na kudumisha na kuboresha utaratibu wa kodi unaofaa kwa ununuzi wa magari ya nishati mpya.

Mapema mwaka huu China ilianza kutekeleza hatua kadhaa za kuhimiza uwezo wa matumizi ya ndani katika sekta ya magari ya nishati mpya. Bw. Li amesema katika nusu ya kwanza ya mwaka huu pato na mauzo ya magari nchini China liliongezeka kwa kiasi kikubwa, na kuongezeka kwa asilimia 9.8 ikilinganishwa na asilimia 9.3 za mwaka jana katika kipindi kama hicho. Katika kipindi hicho kulikuwa na ongezeko la asilimia 42.4 la magari ya nishati mpya yaliyozalishwa na kufikia milioni 3.79, huku magari yaliyouzwa yakiongezeka kwa asilimia 44.1 na kufikia milioni 3.75.

Kamati hiyo imesema hatua hizi ambazo zimeidhinishwa na Baraza la Serikali, zinalenga kutekeleza ipasavyo mkakati wa kupanua mahitaji ya ndani, kutoa mchango kamili katika kuhimiza matumizi, kuchochea ukuaji wa uchumi, na kudumisha maendeleo ya hali ya juu ya China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>