久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Maeneo maalum?ya maendeleo ya China yavutia zaidi ya kampuni 30,000 za kigeni

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 28, 2023
Maeneo maalum?ya maendeleo ya China yavutia zaidi ya kampuni 30,000 za kigeni
Gari linalojiendesha (kwanza kulia) likiwa katika jaribio la kujiendesha bila dereva kwenye barabara katika eneo la Yizhuang, Beijing, China, Oktoba 19, 2021.(Xinhua/Peng Ziyang)

NANJING - Maeneo maalum ya maendeleo ya uchumi na teknolojia ya China yamevutia zaidi ya kampuni 30,000 zinazowekezwa kwa mitaji ya kigeni, Wizara ya Biashara ya China imesema Jumanne.

“Nchi kwa sasa ina maeneo maalum ya maendeleo kama hayo 230 katika sehemu 31 za ngazi ya mkoa, yakikusanya kampuni zaidi ya milioni 4,” wizara hiyo imesema kwenye hafla ya kuhimiza maeneo maalum ya maendeleo ya uchumi na teknolojia ya ngazi ya kitaifa.

Zaidi ya kampuni 300 zilizomo kwenye orodha ya Kampuni Bora 500 duniani zimeanzisha makao makuu au vituo vya utafiti katika maeneo haya ya maendeleo.

Mwaka jana, maeneo maalum ya maendeleo ya uchumi na teknolojia ya ngazi ya kitaifa yalizalisha Pato la Taifa la kikanda la yuan trilioni 15 (kama dola za Kimarekani trilioni 2.08), ikiwa ni ongezeko la asilimia 117 kuliko Mwaka 2013.

Maeneo haya ya maendeleo yamekuwa jukwaa muhimu la uunganishwaji kiuchumi wa China katika mfumo wa kimataifa wa viwanda.

Chen Chunjiang, msaidizi wa waziri wa biashara wa China amesema katika hafla hiyo kwamba China itafikiria kufupisha zaidi orodha hasi ya uwekezaji wa kigeni na kuimarisha ufunguaji wa sekta za huduma za kisasa.

Chen amesema China itaongeza uungaji mkono wa kisera ili kuhimiza uvumbuzi na kuboresha kiwango cha ubora wa maeneo maalum ya maendeleo ya uchumi na teknolojia ya ngazi ya kitaifa.

Hafla hiyo iliyofanyika katika Mji wa Nanjing, Mashariki mwa China, imeandaliwa kwa pamoja na Wizara ya Biashara ya China na serikali ya Mkoa wa Jiangsu.

Ikiwa ni sehemu ya shughuli za "Mwaka wa Wekeza nchini China", hafla hiyo iliwaalika wawakilishi wa mashirika ya kimataifa, mashirikisho ya wafanyabiashara wa kigeni, maeneo maalum ya maendeleo ya uchumi na teknolojia ya ngazi ya kitaifa, na kampuni zinazowekezwa na mitaji ya kigeni kuhudhuria midahalo na mikutano ya kutafuta maslahi ya uwekezaji wa miradi.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>