Lugha Nyingine
Mji wa kale wa Dai wahimiza utalii wa kitamaduni katika Mji wa Mangshi, Kusini Magharibi mwa China
Wasanii wakicheza ngoma ya kikabila moja kwa moja mtandaoni katika mji mdogo wa kale wa Wadai wa Mji wa Mangshi, katika eneo linalojiendesha la Makabila ya Wadai na Wajingpo la Dehong, Mkoa wa Yunnan, Kusini-Magharibi mwa China, Aprili 11, 2023. Mji huo wa kale unatumia sifa maalumu za kitamaduni za mahali hapo ili kuongeza mvuto wa shughuli kwa watalii wa kutembelea usiku na kuinua utalii wa kitamaduni wa eneo hilo. (Xinhua/Chen Xinbo)
Watalii wakitembelea mji mdogo wa kale wa Wadai wa Mji wa Mangshi, katika eneo linalojiendesha la Makabila ya Wadai na Wajingpo la Dehong, mkoani Yunnan, China, Aprili 11, 2023. (Xinhua/Chen Xinbo)
Watalii wakipata chakula cha usiku kwenye mgahawa maalum katika mji mdogo wa kale wa Wadai wa Mji wa Mangshi, katika eneo linalojiendesha la Makabila ya Wadai na Wajingpo la Dehong, mkoani Yunnan, China, Aprili 11, 2023. (Xinhua/Cui Wen)
Watalii wakinunua bidhaa katika mji mdogo wa kale wa Wadai wa Mji wa Mangshi, katika eneo linalojiendesha la Makabila ya Wadai na Wajingpo la Dehong, mkoani Yunnan, China, Aprili 11, 2023. (Xinhua/Cui Wen)
Watalii wakitembelea mji mdogo wa kale wa Wadai wa Mji wa Mangshi, katika eneo linalojiendesha la Makabila ya Wadai na Wajingpo la Dehong, mkoani Yunnan, China, Aprili 11, 2023. (Xinhua/Chen Xinbo)
Watu wakinunua bidhaa katika mji mdogo wa kale wa Wadai wa Mji wa Mangshi, katika eneo linalojiendesha la Makabila ya Wadai na Wajingpo la Dehong, mkoani Yunnan, China, Aprili 11, 2023. (Xinhua/Cui Wen)
Watalii wakitembelea mji mdogo wa kale wa Wadai wa Mji wa Mangshi, katika eneo linalojiendesha la Makabila ya Wadai na Wajingpo la Dehong, mkoani Yunnan, China, Aprili 11, 2023. (Xinhua/Chen Xinbo)
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma