Lugha Nyingine
Maonesho ya kimataifa ya bidhaa za matumizi ya China yafunguliwa
(CRI Online) April 10, 2023
Maonesho ya 3 ya kimataifa ya bidhaa za matumizi ya China yamefunguliwa leo huko Haikou, Hainan, na inakadiriwa kuwa watu zaidi ya laki 3 watashiriki kwenye maonesho hayo.
Eneo lililotumika na idadi ya chapa zinazoshiriki kwenye maonesho hayo imeongekeza kwa kiasi kikubwa, na biashara ya kielektroniki kati ya China na nchi nyingine inaungwa mkono na China.
Katika maonyesho hayo, maduka makubwa ya manunuzi na maduka yasiyotoza ushuru yatatoa punguzo la bei kwa wateja, na kuhimiza uwezo wa matumizi kwenye manunuzi ya bidhaa.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma