久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Nini cha kutarajia kutoka Maonyesho ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 04, 2023

https://english.news.cn/20230403/94ad478483fc4d249267431ee12626eb/2023040394ad478483fc4d249267431ee12626eb_4bffb7a4-1d76-4320-9123-a221d2255f85.jpg

Picha hii iliyopigwa Tarehe 30 Julai 2022 ikionyesha mwonekano wa nje wa ukumbi wa Maonesho ya Pili ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China (CICPE) huko Haikou, Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China. (Xinhua/Guo Cheng)

BEIJING - Maonyesho ya Tatu ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China yatakuwa jukwaa la maonyesho na biashara ya bidhaa zenye ubora wa juu duniani na kutia msukumo katika kufufua uchumi wa Dunia, imesema Wizara ya Biashara ya China siku ya Jumatatu.

Maonyesho hayo yatakayofanyika kuanzia Aprili 10 hadi 15 huko Haikou mkoani Hainan, China ni sehemu ya kampeni ya wizara hiyo kuhimiza matumizi mwaka huu, amesema Naibu Waziri wa Biashara Sheng Qiuping kwenye mkutano na waandishi wa habari.

Matarajio ya maonyesho hayo ya mwaka huu yaliyotolewa katika mkutano huo na waandishi wa habari ni kama yafuatayo :

Eneo kubwa la maonyesho

Eneo la maonyesho hayo litafikia ukubwa wa mita za mraba 120,000, ikiwa ni ongezeko la asilimia 20 kuliko maonyesho ya mwaka jana.

Sehemu ya maonyesho ya kimataifa itafikia ukubwa wa mita za mraba 80,000.

Zaidi ya chapa 3,100 za bidhaa kutoka nchi na maeneo 65 zitaonekana kwenye maonyesho hayo, zikiwemo chapa 147 za bidhaa kutoka Italia, nchi yenye mwaliko wa mgeni wa heshima.

Yenye ufansi zaidi

Ili kulinganisha hali ya maonyesho hayo na manunuzi ya bidhaa, waandaaji wametoa orodha ya waonyeshaji bidhaa na kukusanya mahitaji ya wanunuzi mapema.

Eneo maalum kwa ajili ya majadiliano ya bei litapatikana kwenye eneo la maonyesho. Mikutano ya upangaji wa mahitaji na utoaji bidhaa wa kuvuka mipakani, hafla rasmi za mapokezi, na pia zitafanyika shughuli za kutangaza bidhaa bora kutoka sehemu mbalimbali ncini China.

Maonyesho hayo yamewaalika zaidi ya wanunuzi 2,000 wa kigeni kutoka nchi na maeneo 35.

Zaidi ya wanunuzi na wageni wataalamu 50,000 watashiriki kwenye maonyesho hayo.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>