久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Afrika yajitahidi kutumia sarafu za nchi za Afrika katika biashara ya ndani

(CRI Online) Machi 31, 2023

Eneo la Biashara Huria la Afrika (AfCFTA) linajitahidi kutumia sarafu za ndani katika biashara kati ya nchi za bara hilo.

Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya AfCFTA, Wamkele Mene amesema, biashara za kuvuka mpaka kati ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Magharibi mwa Afrika (ECOWAS) tayari inaendelea kupitia matumizi ya sarafu za nchi hizo badala ya kutumia dola ya kimarekani.

Amesema gharama ya kubadilisha sarafu za ndani kwenda dola ya kimarekani katika biashara kati ya nchi za Afrika ni karibu na dola za kimarekani bilioni 5 kwa mwaka, na kuongeza kuwa, ili kuepuka gharama hiyo, Sekretarieti yake imeunda mfumo wa malipo na makubaliano kwa nchi za Afrika unaowezesha kufanya biashara kwa kutumia sarafu za nchi husika.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>