久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Kamishna wa AU asema Afrika haiwezi kuacha utekelezaji wa Eneo la Biashara Huria

(CRI Online) Februari 17, 2023

Kamishna wa Maendeleo ya Uchumi, Biashara, Viwanda na Madini wa Umoja wa Afrika, Albert Muchanga amesema, Bara la Afrika haliwezi kuacha kutekeleza makubaliano ya Eneo la Biashara Huria la Afrika (AfCFTA).

Akizungumza na wanahabari kwenye Mkutano wa 42 wa Baraza la Utendaji la Umoja wa Afrika unaofanyika mjini Addis Ababa, Ethiopia, Bw. Muchanga amesema eneo hilo la kibiashara ni ufunguo muhimu katika mageuzi ya Afrika, na kushindwa kutekeleza mradi huo ni jambo lisiloweza kufikirika.

Amesema utekelezaji wa mradi huo ni safari ndefu na italisaidia Bara la Afrika kutimiza soko la kikanda kwa uhuru wa watu kusafiri, mitaji, bidhaa na huduma ili kuimarisha maingiliano ya kiuchumi, kuboresha maendeleo ya kilimo, usalama wa chakula, mageuzi ya viwanda na mabadiliko ya mfumo wa uchumi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>