久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Shirika la Makadirio ya Uchumi la Fitch lasema kufufuka kwa matumizi katika ununuzi nchini China kumeanza kwa nguvu Mwaka 2023

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 06, 2023

Mtazamaji wa filamu akigusa skrini ili kupata tiketi kutoka kwenye mashine ya kujihudumia kwenye ukumbi wa sinema huko Guiyang, Mkoa wa Guizhou, Kusini Magharibi mwa China, Januari 29, 2023. (Xinhua/Tao Liang)

BEIJING - Shirika la Makadirio ya Uchumi la Fitch limetoa ripoti moja ikionesha kuwa, matumizi katika ununuzi ya China yanafufuka kwa nguvu kubwa mwanzoni mwa Mwaka 2023, huku sekta za huduma za hali ya juu na ya kati zisizo za lazima zikiwa na ufanisi mkubwa.

Ripoti hiyo imesema, mahitaji ya huduma za watumiaji wa nje ya mtandao za China, pamoja na utalii, sinema na migahawa, ambazo ziliathiriwa sana na janga la UVIKO-19, yameongezeka zaidi wakati wa likizo ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China.

Usafiri wa watalii wa ndani umerejea kwa karibu hadi asilimia 90 kuliko ule wa Mwaka 2019, wakati matumizi ya ununuzi kwenye utalii yalikuwa asilimia 73 kutokana na punguzo la bei za tiketi.

Utazamaji wa filamu nchini China ulifikia rekodi ya pili kwa juu zaidi, na idadi ya watembeleaji kwenye majumba ya sinema ilikuwa chini kidogo kuliko ile ya Mwaka 2019, imesema ripoti hiyo ya Fitch.

Makadirio hayo ya Fitch yakinukuu takwimu zilizotolewa na Wizara ya Biashara ya China yamebainisha kwamba, matumizi ya watu kwenye migahawa yaliongezeka kwa asilimia 15.4 kuliko mwaka jana wakati wa likizo hiyo, huku wastani wa matumizi kwenye migahawa yakiongezeka kwa asilimia 10.8.

Makadirio ya Fitch yanaonyesha matarajio ya kufufuka kwa kasi kwa mahitaji ya nchini ya huduma za migahawa, utalii, huduma za urembo na shughuli za kitamaduni na burudani katika Mwaka 2023. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>