久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

China kuongeza kasi ya kuimarika kwa uchumi, kuleta utulivu wa biashara ya nje na uwekezaji

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 29, 2023

Picha hii iliyopigwa Januari 13, 2023 ikionyesha mandhari ya Gati la Makontena kwenye Bandari ya Haikou, Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China. (Xinhua/Pu Xiaoxu)

BEIJING - China itafanya juhudi za kupanua kasi ya kuimarika tena kwa uchumi, kuharakisha kufufuka kwa matumizi ya ununuzi na kuleta utulivu wa biashara ya nje na uwekezaji, kwa mujibu wa maamuzi yaliyotolewa kwenye mkutano wa utendaji wa Baraza la Serikali la China ulioongozwa na Waziri Mkuu Li Keqiang Jumamosi.

Kwa kuzingatia mwenendo unaoendelea wa kufufuka kwa uchumi na kuimarika tena, mkutano huo umesisitiza haja ya kutekeleza maamuzi ya Mkutano wa Kamati Kuu kuhusu Kazi za Uchumi na kuweka mkazo katika kuhakikisha ukuaji wa uchumi na utulivu wa ajira na bei, ili kuuweka ufanisi wa uchumi ndani ya viwango vinavyofaa.

Hatua madhubuti zitachukuliwa ili kuhakikisha utekelezaji mzuri wa vifungu vya sera ya kuleta utulivu wa uchumi na hatua zake za ufuatiliaji. Miradi muhimu na uboreshaji wa vifaa na ukarabati unaoungwa mkono na zana za sera za fedha na bajeti zitaendelezwa ili kupata faida zaidi halisi.

Sera za kuongeza muda wa unafuu wa kodi ya nyongeza za thamani (VAT) kwa walipa kodi wadogo na mikopo jumuishi inayotolewa kwa biashara zenye ukubwa mdogo na wa kati zitatekelezwa kwa ufanisi.

Mkutano huo pia umesisitiza kwamba, ni muhimu kubaki na nia thabiti ya kuimarisha na kuendeleza uchumi wa umilikaji wa kiumma, na kuhimiza, kusaidia na kuongoza maendeleo ya mashirika yasiyo ya umilikaji wa kiumma, kulinda haki halali na maslahi ya biashara za kibinafsi na kukuza soko lenye mwelekeo wa kimataifa, mazingira ya biashara yenye hadhi ya kimataifa yanayofuata mfumo mzuri wa kisheria. Pia Uchumi wa kidijitali utasaidiwa katika kutafuta maendeleo endelevu na yenye uthabiti.

Mkutano huo umesisitiza haja ya kuwezesha ufunguaji upya wa haraka wa biashara na uzalishaji baada ya likizo ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China na kutoa huduma nzuri kwa wafanyakazi wahamiaji wanaporejea kazini au kupata kazi mpya.

"Tunahitaji kuongeza juhudi za kutekeleza sera za kupanua matumizi," Waziri Mkuu Li amesema.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>