久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Mikoa ya China yaimarisha ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara kati ya China na Afrika

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 30, 2022

CHANGSHA - Ingawa Maonyesho yajayo ya Uchumi na Biashara ya China na Afrika bado yamebakiza miezi sita, ujumbe wa uchumi na biashara kutoka Mkoa wa Hunan wa China umekamilisha safari zake za kutangaza maonyesho hayo kwa nchi kadhaa za Afrika katikati mwa Desemba.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka serikali ya mkoa huo, Maonesho ya Tatu ya Uchumi na Biashara ya China na Afrika yatafanyika Mwezi Juni, Mwaka 2023 huko Changsha, mji mkuu wa Mkoa wa Hunan. Ili kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara na Afrika, ujumbe huo ulioandaliwa na idara ya biashara ya serikali ya mkoa ulitembelea Msumbiji, Tanzania na Madagascar kuanzia Tarehe 10 hadi 21 Desemba.

"Katika miaka michache iliyopita, Hunan umekuwa moja ya mikoa yenye nguvu zaidi katika ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara na Afrika," Zhu Guangyao, Mkuu wa Idara ya Forodha ya Changsha amesema.

Takwimu kutoka kwenye idara hiyo ya forodha zinaonyesha thamani ya biashara ya Hunan na Afrika iliongezeka kutoka yuan bilioni 15.08 (kama dola za kimarekani bilioni 2.16) Mwaka 2012 hadi kufikia yuan bilioni 40.39 Mwaka 2021, ikishika nafasi ya kwanza katika mikoa ya kati ya China na ya nane kwa nchi nzima.

Kuanzia Januari hadi Novemba mwaka huu, thamani hiyo ya biashara iliongezeka kwa asilimia 45.5 kuliko mwaka jana na kufikia yuan bilioni 50.94. Na mkoa huo unajivunia kuwa na makampuni 2,498 ya biashara ya nje yenye uhusiano wa kibiashara na nchi za Afrika.

Kutokana na matunda mazuri ya kwa kufungua mlango kwa kiwango cha juu nchini China, mikoa mingi ya China, ikiwa ni pamoja na Hunan, imechukua fursa za kushiriki kikamilifu kwa ajili ya faida na umaalumu wao kiuchumi, na kuwa waanzilishi wa biashara na Afrika.

Kwa mfano, Mkoa wa Zhejiang, mkoa wenye nguvu ya biashara ya nje nchini China, umeshuhudia thamani ya biashara yake na Afrika ikifikia yuan bilioni 235.7 Mwaka 2020, ikiwa ni asilimia 18.2 ya jumla ya nchi nzima ya China, kwa mujibu wa takwimu za Idara ya Biashara ya Mkoa wa Zhejiang.

Ikiwa ni moja ya majaribio, mkoa huo ulifanya hafla ya ununuzi mtandaoni inayotangaza bidhaa za Afrika kutoka Aprili 28 hadi Mei 12 mwaka huu. Zaidi ya kategoria 50 za bidhaa maalum kutoka zaidi ya nchi 10 za Afrika zilitangazwa kupitia majukwaa ya kuonesha moja kwa moja mtandaoni kama vile Taobao na Douyin (Tiktok ya China).

Katika kipindi cha muongo mmoja uliopita, biashara kati ya Mkoa wa Guangdong na Afrika imekua kwa wastani wa asilimia 30 kwa mwaka. Biashara ya bidhaa nyingi bora kutoka Guangdong zimefanikiwa kuingia katika soko la Afrika, na kujihusisha na biashara, kilimo na umeme, zikichukua jukumu kubwa katika kukuza maendeleo ya uchumi wa Afrika.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>