久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Shirika la Umoja wa Mataifa lasema uchumi wa Latini Amerika utakua kwa kiwango cha chini Mwaka 2022

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 24, 2022

Mario Cimoli, Kaimu Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Uchumi ya Latini Amerika na Caribiani (ECLAC), akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari huko Santiago, Chile, Juni 6, 2022. (ECLAC/Kutumwa kwa Xinhua)

SANTIAGO – Kamisheni ya Uchumi ya Latini Amerika na Caribiani (ECLAC) yenye makao yake makuu Santiago, Chile Jumanne wiki hii imesema kuwa eneo la Latini Amerika na Caribiani huenda likashuhudia kukua kwa wastani kwa uchumi katika kiwango cha asilimia 2.7 Mwaka 2022, hivyo kurejea kwenye ukuaji duni wa uchumi wa kabla ya janga huku kukiwa na vizuizi vikubwa vya nje na vya ndani vya uchumi mkuu.

“Ukanda wa Amerika Kusini unatarajiwa kuona Pato la Jumla (GDP) likikua kwa asilimia 2.6 mwaka huu, baada ya kuongezeka kwa asilimia 6.9 Mwaka 2021,” shirika hilo la Umoja wa Mataifa limesema wakati likiwasilisha Utafiti wake wa Uchumi wa kila mwaka wa Latini Amerika na Caribiani 2022.

Amerika ya Kati na Mexico zimekadiriwa kushuhudia ukuaji wa uchumi wa asilimia 2.5 mwaka huu, baada ya kuongezeka kwa asilimia 5.7 Mwaka 2021, wakati eneo la Caribiani litapata ukuaji wa asilimia 4.7, na kuwa eneo pekee lililopata ukuaji wa uchumi kuzidi ule wa mwaka jana (asilimia 4).

Shirika hilo limetoa wito wa kuratibiwa kwa sera za uchumi mkuu ambazo zitaleta chachu ya ukuaji wa uchumi, kuinua uwekezaji wa umma na binafsi, na kuchangia katika kupunguza hali isiyo na usawa na ya umaskini.

Kaimu Katibu Mtendaji wa ECLAC Mario Cimoli wakati wa uwasilishaji wa utafiti huo amesema kwamba hali katika Latini Amerika na Caribiani siyo tu ni matokeo ya mambo ya hivi karibuni, lakini pia "ni matokeo ya mlolongo wa mkusanyiko wa misukosuko" iliyoanzia Mwaka 2008.

Ripoti hiyo pia imeonyesha athari za kimataifa za mgogoro wa Ulaya Mashariki, ambao "umepunguza upatikanaji wa chakula na kuongeza bei ya nishati," pamoja na bei za bidhaa.

Shirika hilo limesema kuwa, kutokana na shinikizo la mfumuko wa bei, benki kuu zimepandisha viwango vya riba na kupunguza hatua za kichocheo, wakati kudorora kwa shughuli za kiuchumi kumeathiri kufufuka kwa soko la ajira, hasa kwa wanawake. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>