Lugha Nyingine
Xi Jinping atuma salamu za pole kwa waziri mkuu wa Japan Fumio Kishida
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 23, 2022
Tarehe 22, Agosti, rais wa China Xi Jinping alituma salamu za pole kwa waziri mkuu wa Japan Fumio Kishida kwa kuambukizwa virusi vya korona.
Xi alisema, baada ya kupata habari kuwa waziri mkuu Kishida kuambukizwa virusi vya korona, napenda kukupa pole ya dhati na kukutakia upone mapema. Mwaka huu ni maadhimisho ya miaka 50 tangu uhusiano wa kidiplomasia kati ya China na Japan kurudi kwenye hali ya kawaida, ningependa kushirikiana nawe katika kuhimiza ujenzi wa uhusiano wa China na Japan unaoendana na mahitaji ya zama mpya.
Siku hiyo, waziri mkuu wa China Li Keqiang pia alituma salamu za pole kwa Fumio Kishida.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma