久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Mji wa Chongqing nchini China wapiga hatua katika maendeleo ya kiwango cha juu

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 18, 2022

Watu wakifurahia mandhari ya usiku kwenye baa iliyoko Mji wa Chongqing, Kusini-Magharibi mwa China Desemba 8, 2021. Chongqing imepitisha idhini ya kufanyika shughuli mbalimbali za kuhimiza uchumi wa usiku. (Xinhua/Tang Yi)

CHONGQING – Mji wa Chongqing ulioko Kusini Magharibi mwa China umepata maendeleo mapya katika kuhimiza maendeleo ya kiwango cha juu na kuyafanya maisha ya wakazi wa mji huo kufikia hali ya juu katika muongo mmoja uliopita, imesema taarifa iliyotolewa kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Jumatano.

Katika miaka kumi iliyopita, Chongqing imeendelea kuanzisha vichochezi vipya vya ukuzaji wa uchumi na kupanua nafasi mpya ya maendeleo. Pato lake la jumla la ndani (GDP) limeongezeka zaidi ya mara mbili kutoka yuan trilioni 1.16 (kama dola bilioni 171 za Kimarekani) Mwaka 2012 hadi kufikia yuan trilioni 2.79 Mwaka 2021.

“Ikitekeleza mkakati wa uvumbuzi, Chongqing inajijenga yenyewe katika eneo la viwanda vinavyotumia teknolojia ya kisasa na mji mashuhuri unaotumia teknolojia ya akili bandia,” amesema meya wa Chongqing Hu Henghua.

Hu amesema kuwa Chongqing pia inataka kujijenga kuwa kituo chenye ushawishi cha China cha uvumbuzi wa sayansi na teknolojia. Mji huo una makampuni 5,109 ya teknolojia ya juu, na uchumi wa kidijitali unachangia asilimia 27.2 ya Pato la Jumla.

Mji huo umehimiza maendeleo na sera za kiwango cha juu za kufungua mlango, ikiwa ni pamoja na huduma ya treni ya mizigo ya China-Ulaya, mpango wa uunganishaji wa China na Singapore, na eneo la majaribio la biashara huria la Chongqing.

Treni za mizigo za China-Ulaya zinazoendeshwa na Shirika la China-Europe Railway Express (Chongqing) zimefanya zaidi ya safari 10,000, na biashara ya nje ya mji huo ilizidi Yuan bilioni 800 mwaka jana.

Kwa kuhimiza maendeleo yaliyoratibiwa ya maeneo ya mijini na vijijini, serikali za mitaa zimewaondoa kutoka kwenye umaskini wakazi wa vijijini zaidi ya milioni 1.9 na kufanya maeneo ya vijijini kuwa ya kufaa zaidi kuishi.

Ikipatikana katika sehemu za juu za Mto Changjiang, Chongqing imeendelea kujijenga kuwa eneo la kizuizi kikubwa cha uharibifu wa ikolojia. Kiwango cha kuenea kwa misitu katika mji huo kimefikia asilimia 54.5, na maji katika sehemu ya Chongqing ya mkondo wa Mto Changjiang kwa ujumla ni ya sifa nzuri.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>