久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Nini cha kutarajia kutoka kwenye Maonyesho yajayo ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 21, 2022

Picha iliyopigwa Tarehe 19 Julai 2022 ikionyesha mwonekano wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano na Maonyesho cha Hainan, ukumbi ambao utatumika kwa Maonesho ya 2 ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China, huko Haikou, Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China. (Xinhua/Yang Guanyu)

BEIJING - Maonesho ya pili ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China, yatakayofanyika kuanzia Julai 25 hadi 30 huko Haikou, Mji Mkuu wa Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China yatatoa jukwaa kwa ajili ya maonyesho na uuzaji wa bidhaa za matumzi za kiwango cha juu kutoka China na nje ya nchi.

Pamoja na kufanyika kwenye eneo kubwa la maonyesho, waonyeshaji na chapa zinazoshiriki zaidi, na umakini maalum juu ya bidhaa mpya na bora, maonyesho hayo yanatarajiwa kuendelea kuwa maonyesho makubwa zaidi ya mitindo ya mavazi kwa wanunuzi katika eneo la Asia-Pasifiki.

Zifuatazo ni dondoo za nini cha kutarajia kutoka kwenye maonyesho hayo ya mwaka huu:

Eneo kubwa la maonyesho

Waandaaji wa maonyesho hayo wanasema, jumla ya eneo la maonyesho ya mwaka huu litafikia mita za mraba 100,000, ikiwa ni ongezeko la asilimia 25 kuzidi eneo lililotumika mwaka jana, pia huko Haikou. Aidha, sehemu ya maonyesho ya bidhaa za kimataifa inachukua asilimia 80 ya eneo lote la maonyesho hayo. Zaidi ya chapa 1,600 za kimataifa kutoka nchi na maeneo 61 zitashiriki kwenye maonyesho hayo, na chapa bora katika sekta ndogo zitashiriki kwa mara ya kwanza.

Zaidi ya chapa 1,200 za China zimejiandikisha kwa ajili ya kushiriki kwenye maonyesho hayo hadi kufikia sasa, na eneo jipya la mita za mraba 5,000 limetengwa kwa ajili ya bidhaa za mitindo ya mavazi za nyumbani na chapa zinazoheshimiwa kutokana na kuwepo sokoni kwa muda mrefu.

Bidhaa mpya zenye ubora

Taarifa husika zinaeleza kuwa, zaidi ya chapa 200 zinatarajiwa kuonesha bidhaa mpya zaidi ya 600 kwenye maonyesho hayo ya mwaka huu. Chapa nyingi zinazoongoza duniani zitaandaa zaidi ya shughuli 100 zinazohusu bidhaa mpya, zinazojumuisha sekta kama vile mitindo na vipodozi, vyakula na vinywaji, na vito.

Aidha, maonyesho yanayokadiriwa kufikia 28 yatafanyika kuanzia Julai 27 hadi 28, yakionesha zaidi ya bidhaa 100 mpya, huku shughuli kadha wa kadha zitaandaliwa ili kutangaza na kuonesha bidhaa mpya kutoka mikoa kadhaa nchini China. Pia, shughuli ya wiki ya mitindo itafanyika wakati wa maonyesho hayo, ambapo karibu wabunifu 20 bora wa ndani na nje ya China watatoa zaidi ya bidhaa 100 za mitindo kwenye maonyesho jukwaani.

Kuzingatia ufanisi

Ili kuoanisha maonyesho hayo na ununuzi wa bidhaa, maonyesho hayo yataalika makampuni maarufu na yasiyo maarufu ya kibiashara ya ndani na nje ya China, makampuni yasiyolipishwa ushuru, makampuni ya biashara ya mtandaoni ya kuvuka mipaka na biashara nyinginezo. Inatarajiwa kuwa zaidi ya wanunuzi na wageni wa kitaalamu 40,000 watakuwepo kwenye maonyesho hayo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>