久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

China kuwa na bandari tisa za kontena kati ya 20 bora duniani

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 14, 2022

Picha iliyopigwa Mei 17, 2022 ikionyesha mwonekano wa kituo otomatiki cha kontena cha Bandari ya kina kirefu ya Yangshan katika Mji wa Shanghai, Mashariki mwa China. (Xinhua/Ding Ting)

BEIJING - Kwa mujibu wa makadirio yaliyotolewa na Taasisi Kuu ya Sayansi ya China (CAS), China inatazamiwa kuwa na bandari za kontena tisa kati ya 20 bora zaidi duniani kufikia mwisho wa mwaka huu.

“Miongoni mwa bandari 20 za nafasi za juu duniani, Bandari ya Shanghai itakuwa na uwezo mkubwa wa kusambaza bidhaa Mwaka 2022,” gazeti la China Science Daily lilinukuu makadirio hayo Jumatano, na kuongeza kuwa bandari nyingi za kontena za China zina mahitaji yanayoongezeka ya huduma za meli, ikiwemo bandari ya Ningbo-Zhoushan, pamoja na bandari zilizoko Qingdao na Tianjin.

“Kiasi cha usafirishaji wa kontena huathiriwa na mambo mengi. Ikilinganishwa na uchanganuzi wa hali ya chini na mifano ya kiuchumi, watafiti walichukulia bandari za kimataifa kama mfumo mzima, kwa kuzingatia uchumi wa Dunia, hali ya biashara, na maendeleo ya sekta ya meli,” amesema Wang Shouyang, Mkurugenzi wa Kituo cha CAS cha Sayansi ya Makadirio, ambacho kimetoa ripoti hiyo.

Profesa wa CAS Xie Gang amenukuliwa akisema ingawa tasnia ya usafirishaji wa kontena duniani inapungua kwa Mwaka 2022, usafirishaji wa kontena wa China unabaki kama msingi wa maendeleo thabiti ya Dunia.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>