久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Watu wa nchi mbalimbali za Asia Magharibi na Afrika Kaskazini wabana matumizi katika Siku ya Idd el Hajj

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 13, 2022

Likizo ya Idd el Hajj ilianzia tarehe 9, Julai katika nchi mbalimbali za Asia Magharibi na Afrika Kaskazini, lakini mfumuko wa bei unaoendelea umepunguza furaha ya sikukuu hiyo. Watu walishindwa kufanya sherehe za jadi, na uuzaji wa maduka ulipungua sana. Watu wengi walisema “hawaoni furaha” katika sikukuu hiyo.

Kununua pamoja mbuzi mmoja kwa watu wengi

Tarehe 9, Julai, watu wakiongoza ng’ombe kupita soko la mifugo la Ankala, Turkey. (Picha/Xinhua)

Mfumuko wa bei wa Mwezi Juni nchini Tunisia umepanda kwenye kiwango cha juu zaidi tokea Mwezi Oktoba, 1991. Familia nyingi hazina la kufanya ila kubana matumizi na kununua mbuzi mmoja pamoja na jamaa na marafiki zao — ili kuleta furaha ya sikukuu na kuwawezesha wanafamilia kula nyama ya mbuzi ambayo ni nadra kuonekana kwenye meza ya chakula siku hizi.

Thamani ya fedha za Lebanon pauni imeshushwa kwa kiasi kikubwa ikisababisha uwezo wa ununuzi wa wakazi wa nchi hiyo kupungua kidhahiri. Watu wengi walilazimika kuacha desturi za kununua peremende na mikate kwa kuwakaribisha ndugu na marafiki.

Tarehe 10, Julai, watu wakiwa foleni kununua mikate huko Tripoli, Lebanon. (Picha/Xinhua)

Hatua dhidi ya mfumuko wa bei zapata ufanisi mdogo

Tarehe 6, Julai, watu wakinunua nguo kwenye duka la mavazi la Kairo, Misri. (Picha/Xinhua)


Katika muda mrefu uliopita, nchi nyingi za Asia Magharibi na Afrika Kaskazini zinabeba deni nzito na zinategemea sana uagizaji wa chakula kutoka nje ya nchi, hali hii pamoja na mfumuko mkubwa wa Bei vimesababisha kupungua zaidi kwa uwezo wa nchi hizo wa kukabiliana na shinikizo.

Hivi sasa, Misri, Uturuki na Tunisia zimetoa mfululizo wa hatua ili kuwasaidia raia kukabiliana na bei za chakula zinazopanda juu kwa kasi. Lakini ufanisi wa hatua hizo ni mdogo , mfumuko wa bei unazidi kuwa mbaya katika nchi nyingi.

Tarehe 11, Julai, mchuuzi akiuza mabofu kwenye bustani ya Sana’a, Yemen. (Picha/Xinhua)

Baadhi ya wachambuzi wanasema, benki ya Marekani (FED) imeingia katika kipindi cha kuongeza faida ya akiba ili kukabiliana na mfumuko wa bei nchini humo, ikipeleka faida za akiba za nchi mbalimbali kote duniani zinaongezeka, na kuathiri masoko mapya. Kama katika muda mfupi ujao, itatokea hali mbaya ya kuhamisha mitaji kwa nje ya nchi, na kushushwa zaidi kwa thamani ya fedha, nchi nyingi za Asia Mashariki na Afrika Kaskazini huenda zitashindwa kulipa deni na kusababisha msukosuko wa mapato na matumizi duniani.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>