久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

China yafanya juhudi za kudumisha kufufuka kwa uchumi katika nusu ya pili ya mwaka

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 11, 2022
China yafanya juhudi za kudumisha kufufuka kwa uchumi katika nusu ya pili ya mwaka
Picha iliyopigwa kutoka angani Januari 21, 2022 ikionyesha mandhari ya usiku katika Eneo la Datang Everbright huko Xi'an, Mkoa wa Shaanxi, Kaskazini-Magharibi mwa China. (Xinhua/Tao Ming)

BEIJING - Huku milipuko ya UVIKO-19 ikififia na sera za kukuza uchumi zikianza kutekelezwa, China inafanya juhudi za pande nyingi kuendeleza mwelekeo wake wa kufufuka kwa uchumi katika nusu ya pili (H2) ya mwaka huu.

Uchumi wa China umekuwa chini ya changamoto kutokana na kuibuka tena kwa UVIKO-19 na migogoro ya siasa za kijiografia ya kimataifa tokea mwezi Machi. Ili kuisaidia uchumi kuvuka salama, hatua nyingi za usaidizi kuanzia zile za kusaidia wadau wa soko hadi kuongeza mahitaji ya ndani zimechukuliwa na watunga sera nchini China.

Shukrani kwa juhudi hizo, takwimu za hivi karibuni zimeelekea kwenye viashiria muhimu. Kwa mfano, nambari ya faharasa ya wasimamizi wa manunuzi kwa sekta ya viwanda ya China, ambayo hupima shughuli za viwandani, ilikuwa 50.2 Mwezi Juni, ikirejea katika eneo la kupanuka kwa sekta hiyo.

“Operesheni ya kiuchumi ya China imekuwa katika safari isiyo ya kawaida kuanzia mwaka huu,” alisema Waziri Mkuu wa China Li Keqiang katika kongamano la wiki iliyopita. Amesema, kwa ujumla, uchumi unaona ahueni iliyopiganiwa kwa bidii kutokana na utekelezaji wa sera nyingi za kuleta utulivu wa uchumi.

Li pia amesisitiza kuwa msingi wa ufufukaji wa uchumi bado haujatulia , lazima kuendelea kufanyika kazi ngumu zaidi ili kuleta utulivu wa uchumi.

Mwishoni mwa Juni, vyombo vya Serikali ikiwa ni pamoja na Kamati ya Taifa ya Maendeleo na Mageuzi (NDRC) na Idara ya Udhibiti wa Soko ya China ilitangaza kampeni ya kuimarisha udhibiti wa malipo ya ada na tozo zisizo za kawaida. Hii ni sehemu ya juhudi za kupunguza mzigo kwa makampuni katika sekta kama vile usambazaji wa bidhaa, mambo ya fedha na nishati.

Ili kuimarisha zaidi wadau wa soko, hivi karibuni China imepanua wigo wa urejeshaji wa kodi ya thamani ya nyongeza (VAT) kwa makampuni katika sekta saba, ikijumuisha mauzo ya jumla na rejareja, kilimo, malazi na mighahawa. Hatua hii italeta jumla ya marejesho ya kodi na punguzo hadi yuan trilioni 2.64 (kama dola bilioni 393 za Kimarekani) mwaka huu.

Kama sehemu ya juhudi za kuongeza mahitaji ya ndani, Ou Hong, Afisa wa NDRC, amesema kwenye mkutano na waandishi wa habari hivi karibuni kwamba vipaumbele vitakuwa kwa miradi kama vile uhifadhi wa maji na usafirishaji, pamoja na utekelezaji wa sera zinazolenga kuhimiza ununuzi wa magari na vyombo vya umeme nyumbani.

Katikati ya kusonga mbele, China inatenga dhamana maalum za serikali za mitaa ili kuchochea sekta ya ujenzi. Kufikia mwisho wa Mwezi Mei, zaidi ya yuan trilioni 2 za bondi hizo zilikuwa zimetolewa kote China, ikiwa ni asilimia 59 ya mgawo wa mwaka huu.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>