久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Kura za Maoni zaonesha karibu nusu ya Wamarekani "wanahangaika" na mfumuko wa bei na bei ya mafuta

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 08, 2022

Fataki zikilipuka kwenye National Mall kusherehekea Siku ya Uhuru wa Marekani mjini Washington, D.C., Marekani, Julai 4, 2022. (Picha na Aaron Schwartz/Xinhua)

NEW YORK – Taasisi ya Utafiti ya Fortune imeripoti Jumatano wiki hii kwamba, hisia za matumaini zinazotokana na ahueni ya janga la UVIKO-19 zimepungua miongoni mwa raia wa Marekani kwani hali ya hatari ya kudorora kwa uchumi inawafanya Wamarekani kutathmini hali yao ya kifedha na kujiuliza jinsi watakavyokuwa katika miezi michache tu ijayo.

Taasisi hiyo ya Kura za Maoni ya Fortune ambayo iko chini ya Chuo Kikuu cha Monmouth katika ripoti yake ya Jumanne wiki hii imepata matokeo yanayoonesha kuwa asilimia 42 ya Wamarekani wanasema wanahangaika kubaki na hali ya kifedha waliyonayo. Taasisi hiyo ilifanya utafiti huo kati ya Juni 23 na 27 kwa kutumia sampuli yenye uwakilishi wa kitaifa ya takriban watu 1,000 wenye umri wa zaidi ya miaka 18.

"Idadi hiyo ni ya juu zaidi kuwahi kutokea tangu taasisi hiyo ilipoanza kufanya hojaji miaka mitano iliyopita," imesema ripoti hiyo.

Kwa mujibu wa ripoti hiyo, hapo awali, ilikuwa inabaki kati ya asilimia 20 na 29, na katika mwaka uliopita pekee ilikuwa asilimia 18, kwani ufikiaji mkubwa wa chanjo dhidi ya UVIKO-19 uliruhusu vikwazo vya kiuchumi vya wakati wa janga kuondolewa, na kuleta matumaini kwamba ahueni kamili ilikuwa karibu.

Kura hiyo pia ilijumuisha mchanganuo wa sababu za ukosefu wa usalama wa kifedha. Asilimia ya juu zaidi ya waliohojiwa, asilimia 48, walitaja mfumuko wa bei au bei ya mafuta kuwa wasiwasi wao mkubwa. Matatizo mengine makubwa ya kifedha yalijumuisha uchumi kwa ujumla, ambalo lilitajwa na asilimia 9 ya waliohojiwa, na kulipa bili za kila siku, ambalo lilielezwa na asilimia 6 ya waliohojiwa. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>