久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Maafisa Waandamizi wa China na Marekani wafanya mazungumzo kwa njia ya video kuhusu masuala ya kiuchumi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 05, 2022

BEIJING – Naibu Waziri Mkuu wa China Liu He, ambaye pia ni Mjumbe wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China na mkuu wa upande wa China kwenye mazungumzo ya kina ya kiuchumi kati ya China na Marekani leo Jumanne amefanya mazungumzo kwa njia ya video na Waziri wa Fedha wa Marekani Janet Yellen.

Pande hizo mbili zimekuwa na mawasiliano ya kivitendo na yenye uwazi ya mawazo kuhusu mada kama vile hali ya uchumi mkuu na uthabiti wa minyororo ya kimataifa ya viwanda na ugavi. Mawasiliano yao yamekuwa ya kiujenzi.

Pande hizo mbili zimekubaliana kwamba wakati uchumi wa Dunia unakabiliwa na changamoto kubwa, kuna umuhimu mkubwa wa kuimarisha mawasiliano na uratibu wa sera kuu kati ya China na Marekani. Na kudumisha kwa pamoja utulivu wa minyororo ya kimataifa ya viwanda na ugavi ni kwa maslahi ya nchi zote mbili na Dunia nzima.

Kwa upande wake China imeeleza wasiwasi wake kuhusu masuala kadhaa ikiwa ni pamoja na Marekani kuondoa ushuru wa ziada inaotoza kwenye bidhaa za China na vikwazo,na kutendewa haki kwa makampuni ya China.

Pande hizo mbili pia zimekubaliana kudumisha mawasiliano.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>