久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

China yachukua hatua lengwa ili kuimarisha ukuaji wa biashara ya nje

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 09, 2022

Picha iliyopigwa Mei 1, 2022 ikionyesha meli ya makontena ikitia nanga kwenye Gati la Makontena la Qianwan huko Qingdao, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China. (Xinhua/Li Ziheng)

BEIJING – Katika kukabiliana na hali ya kuongezeka kwa sababu za usumbufu wa nje na wa ndani, China imechukua hatua lengwa mfululizo ili kuimarisha ukuaji wa sekta yake ya biashara ya nje.

Katika jitihada za kusaidia makampuni ya biashara ya nje kukabiliana na changamoto za kibiashara, Baraza la Serikali la China, , mwezi uliopita lilitoa maagizo ya kuboresha huduma na kutoa msaada zaidi wa kibajeti na kifedha kwa makampuni hayo.

Ili kuongeza utulivu zaidi katika sekta hiyo, idara 27 za serikali, ikiwemo idara ya mipango ya kiuchumi ya China, wizara ya biashara na benki kuu, zimetoa sera zinazohusika, ambazo zinalenga zaidi kulainisha taratibu za biashara ya nje, kuimarisha msaada wa kifedha kwa makampuni yanayojihusisha na biashara ya nje na kuleta utulivu kwenye minyororo ya viwanda na ugavi kwa biashara ya nje.

“Hatua hizi zinalenga kuokoa wadau wa soko, kuleta utulivu wa oda na masoko yao, na kulinda imani yao” Naibu Waziri wa Biashara wa China Wang Shouwen aliuambia mkutano na waandishi wa habari jana Jumatano.

Katika miezi minne ya kwanza, thamani ya jumla ya uingizaji na uagizaji wa bidhaa ndani na nje ya China iliongezeka kwa asilimia 7.9 kuliko mwaka uliopita hadi kufikia yuan trilioni 12.58 (kama dola za kimarekani trilioni 1.89). Kwa upande wa dola za Marekani, kiwango cha ukuaji kilifikia asilimia 10.1 kuliko mwaka jana.

“Ukuaji huo umetokana kwa msingi wa ulinganifu wa juu na mwaka jana, na biashara ya nje ya nchi inadumisha mazingira mazuri kwa ukuaji zaidi” Wang alisema.

Hata hivyo, ameonya kuwa makampuni ya biashara ya nje yanaendelea kukabiliwa na changamoto kama vile matatizo ya uchukuzi na kupanda kwa bei za malighafi.

Bado kuna hali ya sintofahamu kwa sekta ya biashara ya nje huku ufufukaji wa uchumi wa Dunia ukiendelea kuwa tete na ukuaji wa mahitaji unaendelea kuwa mdogo, alisema, huku akiongeza kuwa kupanda kwa mfumuko wa bei duniani kutapunguza matumizi ya wanunuzi kwa bidhaa za nje.

“Kuhusu msaada wa kifedha, Benki Kuu ya Umma ya China imeendelea kupunguza gharama za upatikanaji wa mitaji kwa mashirika halisi ya uchumi, na kutoa msaada lengwa kwa makampuni yanayojihusisha na biashara ya nje”, Zhou Yu, ofisa wa benki hiyo, alisema katika mkutano na waandishi wa habari.

Li Xingqian, ofisa kutoka Wizara ya Biashara ya China amesema, China pia imeimarisha huduma za bima ya mikopo ya nje kwa makampuni ya biashara ya nje ili kuyasaidia kuzuia hatari zaidi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>