久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Mkutano wa Mwaka wa Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF) waaangazia changamoto nne

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 24, 2022

Nembo ya Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF) ikionekana huko Davos, Uswizi, Mei 22, 2022. Mkutano wa Mwaka wa 2022 wa WEF umeanza tangu Mei 22 hadi Mei 26. (Xinhua/Zheng Huansong)

DAVOS, Uswisi - Mkutano wa kila mwaka wa Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF) kwa Mwaka 2022 ulianza rasmi katika mji wa Davos nchini Uswizi jana Jumatatu, huku ukiangazia changamoto kuu nne: hatari za siasa za kijiografia, magonjwa ya milipuko, mabadiliko ya tabianchi na hatari za kiuchumi duniani.

Ukifanyika chini ya kaulimbiu ya "Historia Katika Hatua ya Mabadiliko: Sera za Serikali na Mikakati ya Biashara", Mkutano huo wa Mwaka 2022 na vikao vyake 200 vitawakutanisha pamoja viongozi wa kimataifa kutoka mkundi ya wafanyabiashara, serikali na mashirika ya kiraia kwa majadiliano ili kukabiliana na changamoto za kimataifa na kuchagiza maendeleo endelevu na jumuishi ya siku zijazo.

"Mazingira ya kisiasa, kiuchumi na kijamii ya mkutano wetu hayajawahi kutokea. Davos itakutanisha pamoja ana kwa ana viongozi wakuu wa kimataifa kutoka sehemu mbalimbali za kijamii, na kuangalia matokeo na athari za sera za serikali na mikakati ya biashara," amesema Klaus Schwab, mwanzilishi na mwenyekiti mtendaji wa WEF.

Kwa mujibu wa WEF, ajenda za mkutano huo zitahusu kuhimiza ushirikiano wa kimataifa na kikanda; kupata ufufukaji wa uchumi na kutengeneza zama mpya za ukuaji; kujenga jamii zenye afya na usawa; kulinda tabianchi, chakula na mazingira ya asili; kuendesha mageuzi ya sekta ya viwanda; na kutumia nguvu ya Mapinduzi ya Nne ya Viwanda.

Mwanamke akiwa amesimama karibu na nembo ya Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF) huko Davos, Uswizi, Mei 22, 2022. (Xinhua/Zheng Huansong)

Washiriki wakihudhuria mapokezi ya kukaribishwa katika Mkutano wa Mwaka kwenye Kituo cha Mikutano cha Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF) 2022 huko Davos, Uswizi, Mei 22, 2022. Mkutano wa Mwaka wa 2022 wa WEF umeanza Mei 22 na unatarajiwa kufikia tamati Mei 26. (Xinhua/Zheng Huansong)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>